Mke anahitajika haraka sana.

Sep 6, 2018
43
49
nimeamua kuoa

nahitaji mke wa haraka haraka

sifa na vigezo:
* Awe mcheshi
* 25-30 miaka
* awe tayari kuishi na mimi
* asiwe amezaa
* asiwe na mtoto
* asiwe amewahi kunyonyesha
* awe tayar kuzaa na mimi
* awe amesoma angalau awe na degree
* awe tayari kufunga ndoa na mimi
* kwa walio bikra watakua na nafasi nzuri zaidi

asanteni
 
Mm nilifanya kama ww kuweka tangazo hapa ila nlichoambulia ni kupata wanawake wabovuwabovu wachafu , shepu hakuna, kitandani wanayofanya sio kabisa ni zaidi ya malaya, yaani wanawake wa mtandaoni cha kwanza utakachokutana nacho ni kusex, be care mkuu
 
Miss natafuta hata nafasi kama hizi anakosa kila wakitaka anaangukia pua.

Tuma Cv hivyohivyo sasa tutafanyaje.
 
nimeamua kuoa

nahitaji mke wa haraka haraka

sifa na vigezo:
* Awe mcheshi
* 25-30 miaka
* awe tayari kuishi na mimi
* asiwe amezaa
* asiwe na mtoto
* asiwe amewahi kunyonyesha
* awe tayar kuzaa na mimi
* awe amesoma angalau awe na degree
* awe tayari kufunga ndoa na mimi
* kwa walio bikra watakua na nafasi nzuri zaidi

asanteni
Duh kama unatafuta nyumba ya kukodi.
 
Hapo kwenye "mke wa haraka haraka" ndiyo pa kufocus sasa mengine mbwembwe
 
Mm nilifanya kama ww kuweka tangazo hapa ila nlichoambulia ni kupata wanawake wabovuwabovu wachafu , shepu hakuna, kitandani wanayofanya sio kabisa ni zaidi ya malaya, yaani wanawake wa mtandaoni cha kwanza utakachokutana nacho ni kusex, be care mkuu
aisee, nitakua mwangalifu mkuu katika selection. naamini na wazuri wapo pia humu JF
 
nimeamua kuoa

nahitaji mke wa haraka haraka

sifa na vigezo:
* Awe mcheshi
* 25-30 miaka
* awe tayari kuishi na mimi
* asiwe amezaa
* asiwe na mtoto
* asiwe amewahi kunyonyesha
* awe tayar kuzaa na mimi
* awe amesoma angalau awe na degree
* awe tayari kufunga ndoa na mimi
* kwa walio bikra watakua na nafasi nzuri zaidi

asanteni
Sio kwa haraka hiyo mkuu ila angalia usije ukatengenezewa bikra
by the way unataka wa haraka haraka hivyo uliko kuna baridi sana nn mkuu.
 
Mm nilifanya kama ww kuweka tangazo hapa ila nlichoambulia ni kupata wanawake wabovuwabovu wachafu , shepu hakuna, kitandani wanayofanya sio kabisa ni zaidi ya malaya, yaani wanawake wa mtandaoni cha kwanza utakachokutana nacho ni kusex, be care mkuu
Mhhhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom