Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

MasharubuMYJ

Member
Sep 26, 2018
15
44
Mimi ni mwanaume wa miaka 35, nilioa mwaka 2009 kabla ya kuoana tulipima na wote tulionekana tupo salama.

Tukazaa watoto wawili, mwaka 2013 mke alianza kuumwa, alikuwa anatibiwa homa inarudia rudia, baada ya hali kuzidi akashauriwa kupima ukimwi mwaka 2015 na ndipo akagundulika kuwa ameathirika, na mimi nikapima zaidi ya mara tatu nikaonekana ni negative.

Kwa muda wote huo tumekuwa tukitumia mipira katika tendo la ndoa kimsingi tangu nilivyooa sikuwahi kuchepuka shida niliyonayo mimi kwa sasa najawa na msongo wa mawazo kwa muda mrefu hadi nimepungua kiukweli, sioni radha yoyote kwenye tendo, sipati msisimko wowote kwake moyo umekufa kabisa.

Nikiwa nae karibu ndio najawa na mawazo, sioni mapenzi yoyote kwake kibaya zaidi hajawahi kuniambia alipataje na nikimuuliza anaanza kulia hadi kuchukua sumu kutishia kujiua ninashindwa nifanyaje nikijiangalia na umri wangu bado mdogo.

Naomba ushauri wenu wadau nifanyaje kwa sababu yeye anaonekana ana njaa kubwa ya tendo la ndoa na mimi hali ndio hivo.
 
Mke wako alichepuka..
Kama unapenda mfe wote mapema na kuacha watoto bila wazazi.. basi kuwa mjinga

Mnunulie matoi umsaidie muyachezee.. kumfikisha bila wewe kupata hayo..

Pole na kila la kheri, anatishia kujiua labda aliyempatia ni mtu wako wa karibu.. ndio maisha jipende..

Jua hawezi kujiua bali anatumia kama njia ya kutokukuambia ukweli.. huku yeye na wake wanajua. Au labda alikuwa analala na wengi wampe maraha na pesa na hajui yupi alimpa


Update 27/9 22:25hrs
Hii update ya mleta mada ameiandika humu.. inasikitisha sanaaaa👇🏽👇🏽👇🏽

Anyway, nawashukuru kwa ushauri wenu wadau, kuna watu wamesema nimsamehe maisha yaendelee, Kama umenisoma vizuri utaona tangu 2015 hadi leo ni muda umepita, kimsingi nilimsamehe na kukubali hali iliyopo. Lakini kwa nini sasa na kwa nini nauliza ushauri kwa wadau ni kwamba nimeona zipo Dalili kuwa bado anawasiliana na watu wake. Wiki mbili zilizopita nilichukua simu yake alipokuwa kuoga asubuhi saa 12, nikaona meseji ya kimahusiano toka kwa mtu, sikumuuliza ile asubuhi,,, jioni nikaangalia simu yake nikaona ile sms ameifuta ila alimjibu kuwa "nitakupigia my" na mengine na ni kweli calls zake inaonekana alimpigia. Nilimuuliza aniambie ni nani alimtumia sms asubuhi na aniambie ilisemaje, alikataa kata kata kuwa hakutumiwa meseji yoyote ile,,, sasa hapo kabla ya ile sms alikuwa anaongea na mtu mwingine usiku kama saa nne hivi usiku mimi nikiwa sebuleni yeye chumbani maongezi yao niliyashitukia, nilipomuuliza alikuwa anaongea na nani na walikuwa wanaongea nini alinijibu sio lazima nijue kila anachoongea. Sasa hapo ndipo msamaha niliokuwa nimeutoa kabla natafakari ndio njia panda ilipo wapendwa.
 
kijana , mbele yako ukimuona simba nini utafanya na kwanini akulazimishe kufanya ngono uku anajua hali yake? je nikutaka kutafuta sababu ya kwann licha yaww kua nawe ,hukuupata nayeye ndo akaupata?

kwanini alazimishe ngono ili hali mapenzi nizaidi ya ngono? kwanini usitafute njia za kumridhisha nje ya sex? je umeshindwa kukaa naye nakumweleza kwa upole?

Kademu kako nikajinga kwaiyo kanataka mfanane na mind you, huyo demu anatumia nguvu ya ushawishi walozaliwa nayo kutaka mwisho wasiku mfanane, sikia, huyo demu ni delila wa samson ,yaani kanakudanganya kua kanataka kujiua, ili wewe uliingie mkenge ule mzigo. na kukuakikishia, ikiwa anadiriki kufikia hatua ya kukulazimisha umle ,tena hadi kwakutishia kujiua basi tambua kua uyo demu yupo radhi kutumia kila mbinu ili mfanane kwamaana moyoni mwake ana kitu cha "why me?" angekua anajielewa angekuambia maneno haya

"Mume wangu, we ni baba watoto wangu,, kwanza naomba unisamehe kwa kosa nilokutendea, unisamehe kwa kuleta ugonjwa huu ndani, pili nongeomba kuanzia sasa, tusikutane kimwili badala yake nipe nafasi nitengeze afya yangu lkn kubwa nakuhitaji sasa ubebe jukumu zaidi lakuhakikisha watoto wanakua, ikitokea unataka kuoa unaweza kuoa tu ila mimi naomba unihakikishie tu mahitaji yangu"

sasa weee unapambana na kademu kanawivu sanaaaaa kiasi kwamba licha ya hali iyo bado amekukomalia daaahhh

je umewashirikisha wazazi wenu? eti jibu no ivi wanaume siku izi ndo mmebakia wahivi?.

kama kweli unajiamini uko salama na yeye nimgonjwa bahati mbaya kabisa na kwa makusudi hataki kukuambia,.kwanini usiitishe kikao cha ghafla nyumban bila kumjulisha? ili ajikute unamuhitaji aseme ukweli mbele ya wazazi wenu? na atakaposema au asiposema wee utakua uhuru kisha utamfanyia ustaharabu wa yeye kua namaisha yake lets say unampangisha unampa mtaji wa maisha kisha anabaki kua mzazi mwenzako wa watoto lkn sio kimwili? .

miaka 35 maana yake bado mdogo unahitaji hitaji la kimwili sana ,sasa utavumilia ?


ushauri naokupa, waite wazazi ,usiwambie kwanza, waite kwa kuwashtukiza na mkeo asijue.

watoto siku iyo wasiwepo,, alafu kisha waeleze wazazi wenu ukweli+ umtake mwanamke wako aseme aliupataje !!!...( hapa kwajibu lolote atakalokupa nahata asiposema , utakua umejitoa ktk mzigo wa lawama tena hata wazazi wa mwanamke watakuambia ruksa kuachana naye ) ..ukweli nikwamba nawao wanajua wasingependa iyo kitu.

sasa kuna mawili uendelee kishi naye on your own risk ( nakwamaelezo yako ,nakuhakikishia ni risk kwelikweli)

au mgeuze kua mzazi mwenzako lkn msishiriki kitu ( ingawa hii kwa myumba moja ningumu) lakini weee nomaaa ,weee kibokoo mkuuu yaan demu umemjua lkn bado unakula mzigo kisa kondomu? ama kweli watanzania na waafrika ndo tunauchukulia ukimwi kama malaria khaaaaaaa.

Alafu usikute ndoa yenyewe ya njooo tuishi, mifujo kibao usikute alikua mchepukaji balaaa sasa mbingu zikamuadhibu uku zikikuponya weee. lkn bado unataka kubebana na msalaba wa mtu huwazii tena kua namtoto kuwaendelezea wanao? au akili yako inakutima kua , hata ukiendelea kumla hutoupata?


Mimi nadhani maelezo yako hayajakamilika , umeficha ficha tu hapaa, maana mwanaume anayejielewa kwanza angeuthibitisha uaname wake hapa, yakwamba "mke wangu nakupenda sana , nitajitahidi kukupa furaha lkn suala la ngono tuliache"....kama kweli unampenda.
 
Hiyo njaa yake kali ndio ilimfanya akusaliti akauvaa UKIMWI halafu na wewe bado unampenda sana, lakini yeye hakupendi kwa sababu hataki kuulizwa, wala kukuambia miwaya kaipata wapi... Anataka na wewe uwe unahudhuria ANGAZA kuchukua vidonge. Unataka ushauri; tutukikushauri umuache utakubali?
 
Hiyo njaa yake kali ndio ilimfanya akusaliti akauvaa UKIMWI halafu na wewe bado unampenda sana, lakini yeye hakupendi kwa sababu hataki kuulizwa, wala kukuambia miwaya kaipata wapi... Anataka na wewe uwe unahudhuria ANGAZA kuchukua vidonge. Unataka ushauri; tutukikushauri umuache utakubali?
Mpaka amefikia hatua ya kuomba ushauri hakuna kumuacha hapo....
 
Kuitwaa mwanaume haimaanishi ni kuubeba uume mwilini mwakoo tu ni pamoja na maumuzi ya kiume broo na kunamuda lazima kwenye maisha useme inatatosha mkeo alikusaliti yn alikusaliti kweli kwelii wake-up broo angalia kufika hatua mpk unajua ana ukimwi na bado unalalanae ty tn kigezo eti na kondom asee kwenye mapenzi kakuteka kwelikwelii au kakulogaa na still mpaka

Leo etii hajakwambia kaupataje unaumiza kichwaaa tu weee sijuii ufanywajee kweli wa Africa ndio maana mzungu alitutawala yani Mungu amekusaidia yu haii mpaka sasa lakini wapi naona unataka kujiteketeza mwenyewe kwa huruma za kijinga eti mke wanguu mke wangu hakuwa wako peke yakoo broo yani uliolea watuuu na bado unakazana kujitia aibu mke wangu humu chukua maamuzi leo kwa ajili ya kesho yako
 
Kijana , mbele yako ukimuona Simba nini utafanya?? .

Nakwann Akulazimishe kufanya Ngono uku anajua hali yake?? Je nikutaka kutafuta sababu ya kwann licha yaww kua nawe ,hukuupata nayeye ndo akaupata??? .

Kwann alazimishe Ngono ili hali mapenzi nizaidi ya ngono ?? Kwann usitafute njia za kumridhisha nje ya sex?? Je umeshindwa kukaa naye nakumweleza kwa upole??

Kademu kako nikajinga kwaiyo kanataka mfanane na MIND YOU, HUYO DEMU ANATUMIA NGUVU YA USHAWISHI WALOZALIWA NAYO KUTAKA MWISHO WASIKU MFANANE, SIKIA, HUYO DEMU NI DELILA WA SAMSON ,yaan kanakudanganya kua kanataka kujiua, ili wewe uliingie mkenge ule mzigo. Na kukuakikishia, ikiwa anadiriki kufikia hatua ya kukulazimisha umle ,tena hadi kwakutishia KUJIUA basi TAMBUA KUA UYO DEMU YUPO RADHI KUTUMIA KILA MBINU ILI MFANANE kwamaana moyoni mwake ana kitu cha "Why me??" ...ANGEKUA ANAJIELEWA ANGEKUAMBIA MANENO HAYA

"Mume wangu, we ni baba watoto wangu,, kwanza naomba unisamehe kwa kosa nilokutendea, unisamehe kwa kuleta ugonjwa huu ndani, Pili nongeomba kuanzia sasa, tusikutane kimwili badala yake nipe nafasi nitengeze afya yangu lkn kubwa nakuhitaji sasa ubebe jukumu zaidi lakuhakikisha watoto wanakua, ikitokea unataka kuoa unaweza kuoa tu ila mimi naomba unihakikishie tu mahitaji yangu"

Sasa weee unapambana na KADEMU kanawivu sanaaaaa kiasi kwamba licha ya hali iyo bado amekukomalia daaahhh


Je umewashirikisha wazazi wenu???? Eti jibu NO Ivi wanaume siku izi ndo mmebakia wahivi???.

KAMA KWELI UNAJIAMINI UKO SALAMA NA YEYE NIMGONJWA BAHATI MBAYA KABISA NA KWA MAKUSUDI HATAKI KUKUAMBIA,...KWANINI USIITISHE KIKAO CHA GHAFLA NYUMBAN BILA KUMJULISHA?? ILI AJIKUTE UNAMUHITAJI ASEME UKWELI MBELE YA WAZAZI WENU??? NA ATAKAPOSEMA AU ASIPOSEMA WEE UTAKUA UHURU KISHA UTAMFANYIA USTAHARABU WA YEYE KUA NAMAISHA YAKE LETS SAY UNAMPANGISHA UNAMPA MTAJI WA MAISHA KISHA ANABAKI KUA MZAZI MWENZAKO WA WATOTO LKN SIO KIMWILI????? .

MIAKA 35 MAANA YAKE BADO MDOGO UNAHITAJI HITAJI LA KIMWILI SANA ,SASA UTAVUMILIA ??


Ushauri naokupa, Waite wazazi ,usiwambie kwanza, waite kwa kuwashtukiza na mkeo asijue.

Watoto siku iyo wasiwepo,, alafu kisha waeleze wazazi wenu ukweli+ umtake mwanamke wako aseme aliupataje !!!...( hapa kwajibu lolote atakalokupa nahata asiposema , UTAKUA UMEJITOA KTK MZIGO WA LAWAMA TENA HATA WAZAZI WA MWANAMKE WATAKUAMBIA RUKSA KUACHANA NAYE ) ..ukweli nikwamba nawao wanajua wasingependa iyo kitu.

Sasa kuna mawili
Uendelee kishi naye on your own Risk ( nakwamaelezo yako ,nakuhakikishia ni Risk kwelikweli)

Au

Mgeuze kua Mzazi mwenzako lkn Msishiriki kitu ( ingawa hii kwa myumba moja ningumu)

Lkn weee nomaaa ,weee kibokoo mkuuu yaan Demu umemjua lkn bado Unakula mzigo kisa kondomu???..ama kweli Watanzania na waafrika ndo tunauchukulia ukimwi kama malaria khaaaaaaa.

Alafu usikute ndoa yenyewe ya njooo tuishi, mifujo kibao ..... Usikute alikua mchepukaji balaaa sasa mbingu zikamuadhibu uku zikikuponya weee. Lkn bado unataka Kubebana na msalaba wmtu?? Huwazii tena kua namtoto..kuwaendelezea wanao?? Au akili yako inakutima kua , hata ukiendelea kumla hutoupata????


MIMI NADHANI MAELEZO YAKO HAYAJAKAMILIKA , UMEFICHA FICHA TU HAPAA, MAANA MWANAUME ANAYEJIELEWA KWANZA ANGEUTHIBITISHA UANAME WAKE HAPA, YAKWAMBA "MKE WANGU NAKUPENDA SANA , NITAJITAHIDI KUKUPA FURAHA LKN SUALA LA NGONO TULIACHE"....kama kweli unampenda.
Asante sana kwa ushauri wako,,,, ndio maana nimeweka humu ili mnisaidie kimawazo, mawazo ni zaidi ya dawa ndugu zanguni,,, bado endeleeni kutoa nahitaji sana mawazo kama yako Mungu awabariki sana
 
wewe ni mkubwa kwangu ila kutokana umetaka ushauri kikubwa muwekane wazii kuwa huwezi fanya naee tendo la ndoa kutokana na vitu moja mbili tatu ukitaka kuanza stori za nani kakupa ndio utakufa hata kabla yakee kwa magonjwa mengine cha msingii fanya kitu sahihi kuna maisha baada ya tendo la ndoa kufanya na mkeo sio utakuwa wathamani kwake tena hapana wala sio kwamba utaongeza maisha ya mbeleni la hasha bali kutakuwepo na uwezekano wa wewe kupata ukimwi kumbuka mna watoto wanawategemea mwambie mkeo hapana ila kuwa makini maana na yeye ni binadamu anaweza fanya lolote mkose wote ndoa sio mnyororo mliofungana ya kuwa mtakuwa wote kila sehemu.
mtu akifanya lisilo jema ni vema umwambie.

Wako katika ujenzi wa taifa,
R.jandoni.
 
Back
Top Bottom