Ukoo wetu wote ni mapacha.
Kwenye familia yetu tuko nane.
Wakike ni wa NNE
Wa kiume pia tuko wa NNE
Dada zangu wote wana mapacha tena kila wakipata mimba ni watoto wawili mpaka tatu.
Kaka zangu...
Kwanza niombe samahani kwa mama watoto wangu ingawa hajui kilichotokea
Ila kwangu nimeona ni risk sana na ningeweza kupoteana na familia na kushindwa kuwa huru
Nikiri tu kwamba nyege sometimes...
Habarini,
Nina imani wote hapa tunajua kuwa moja ya sababu inayofanya baadhi ya hawa dada zetu wajiuze ni umaskini (ugumu wa maisha) ila nimesikia tetesi kuwa kuna wengine wanajiuza kwasababu...
katika kuifanya ndoa iwe imara, tuzungumzie mavazi sahihi ya mke kumvalia mumewe wakiwa chumbani. kama kwenye nyumba mnaishi wawili tu, sioni shida mke kuvaa anavyotaka.hakuna kitu kibaya kama mke...
Huyu ni Rafiki yangu toka udogo,tukiwa shule ya Msingi mpaka Sekondari.Tulikaa pamoja na kusoma pamoja.Namzungumzia rafiki wa kufa na kuzikana.
Duniani kuna visa wakuu,visa hivi visikie kwa...
Kama ulikuwa unataka kujua nani anaogoza kwa nyuzi na comment hapa jamii forum. Basi ndio hao hapo.
Sijajua kwa nini wakenya wametuzidi hali jf ni ya Tz..
Ila sio mbaya tukampa hongera zake...
Nilimpenda kwa sababu moja tu she is smart hanaga wivu wa kijinga,
Ila katika vitu vinavyonivutia kutoka kwake ni vile anavyonipa tukiwa chumbani kwanza the way she kiss me, ana lips denda moja...
Fahamu Aina 10 ya Wanawake Wanaopendwa na Wanaume kote duniani
1. WENYE MSIMAMO
Wanawake daraja la kwanza wanaopendwa zaidi na wanaume ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi...
Anaandika Profesa Anna Tibaijuka
Nijuavyo mimi Mhe Rais wetu Magufuli ni mcheshi sana. Huwa anapenda kutania lakini wengine labda tunamiss huo utani. Sasa hizi habari ati kasema kuna uwezekano wa...
Unaikubali vipi au unaikataa vipi hiyo ' Kauli ' iliyobeba Kichwa cha Habari hapo juu?
Karibuni katika Utiririkaji na Usererekaji.
Mimi nisiye na Mchepuko nitakuwa msomaji tu leo hapa!
Nawasilisha.
Muulize maswali yote uwezavyo ila ' chonde chonde ' hakikisha hili la kumuuliza kama labda ana Mashetani / Maruhani usilisahau kwani hivi GENTAMYCINE ninavyotiririka na kuserereka Kuandika huu Uzi...
Hicho ni kilio kutoka kwa Jamaa yangu mmoja, anadai imefika mahali wapo ndani ikisikika ngurumo ya gari mke anashtuka na kutamka 'Amos huyo' Jamaa anadai jirani huyo 'Amos' ndio yupo kwenye hatua...
Habari zenu wazima wakuu?
Nina umri wa miaka 29 nimepata mchumba Ana miaka 20, hii imekaaje kabla sijaendelea na hatua nyingine,
Je kuna madhara ya kumuoa msichana wa umri uo?
Pili kwa waliona...
Ndugu zangu wana JF,
Ningependa kujua juu ya hawa ndugu zetu warabu na wahindi, kwanini wao wanapowataka dada zetu wanaoa tena bila sisi kuwatilia masharti Ila linapokuja suala la sisi kutaka...
Habari wana familia wa jf
Leo naomba kuanza na hawa warembo wadangaji jamani mnatia huruma sana, siku moja nipo eneo langu la kazi mara paap akakatiza mtoto mqali nikajitosa kwake moja kwa moja...
Jamaa yangu ambaye leo nimuite X ameoa 22.9.19 amejikaza ameshindwa ameona apasuke atleast atoe sumu mwilini, maisha yenyewe mafupi haya Ilikuwa hivi jamaa baada ya kumaliza masters yake hapo...
Zipo familia nyingi zimejikuta ktk hali ya sintofahamu na migogoro isiyokwisha kwa sababu ya kukosekana kwa mtoto jinsia ya kiume hapa sizungumzii zile familia ambazo hazijabarikiwa kuwa na mtoto...