Where is my Boaz??

Where is my Boaz??

Kwanza unaonekena mbaguzi na mkabila sana eti mchaga? Ila kwa sifa zako hizo labda utengezene mgomba uupe hizo sifa
 
Kwanza unaonekena mbaguzi na mkabila sana eti mchaga? Ila kwa sifa zako hizo labda utengezene mgomba uupe hizo sifa
Mbona umepanic sana mkuu, mimi si mchaga ila ningependelea kuwa na mchaga tho makabila mengine sijayakataaa
 
Habari zenu
Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
1.Awe mfanyabiashara
2.Elimu yeyote
3.Mwenye upendo wa kweli
4.Asiyetumia pombe
5.Kabila lolote ila Akiwa mchaga itapendeza zaidi
6.Umri 28-32
Sifa zangu

1.Nina elimu ya wastani(degree)
2.Nimeajiriwa
3.Nina mtoto mmoja


Nahitaji mtu aliye serious, kama una utani naomba usije pmmap
Mungu akusaidie upate kama unavyohitaji.
Jioni njema.
 
Habari zenu
Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
1.Awe mfanyabiashara
2.Elimu yeyote
3.Mwenye upendo wa kweli
4.Asiyetumia pombe
5.Kabila lolote ila Akiwa mchaga itapendeza zaidi
6.Umri 28-32
Sifa zangu

1.Nina elimu ya wastani(degree)
2.Nimeajiriwa
3.Nina mtoto mmoja


Nahitaji mtu aliye serious ndo aje pm.

Asanteni matusi na kejeli sitaki, aliyeweka hii forum hakukosea, so acha tuitumie

Utafanikiwa, as long as umeweka nia.

Ila pia jiandae na zoezi la kuchambua mchicha na magugu.
 
Ni rahisi sana kumuona chawa akiongozana na kundi la mbuzi lakini sio mchaga asiye tumia pombe
 
Huko Chuoni hukumuona anaekufaa msomi mwenzako?, Unatafuta mfanyabiashara mwenye Elimu ndogo hata STD 7! Si utampangia hadi zamu ya kuosha vyombo na kutandika kitanda? Nakushauri kajibebishe kwa kwa huyo mzazi mwenzako ili mrudiane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom