WADADA MNAO DANGA MUNGU ANAWAONA

shahazady mustafa

Senior Member
Oct 1, 2018
110
56
Habari wana familia wa jf
Leo naomba kuanza na hawa warembo wadangaji jamani mnatia huruma sana, siku moja nipo eneo langu la kazi mara paap akakatiza mtoto mqali nikajitosa kwake moja kwa moja, basi visalaam vya kichokozi, Mara namba ya simu tukabadilishana. Cha kushangaza hapo hapo kabla sjaanza kumpa hitaji langu akafungua kopo la pipi akajihudumia pipi "Big Bom" buree... Daah nikaona hapa safari ni ndefuu ila nikajipa moyo tu kiume.

Nikamuuliza "Vip mrembo ukipata time nistue basi tubadilishane madini, akasema poah,, Acha tuanze story baada ya kunicheck, kabla sjatema madini mtoto akadai nimuwekee vocha aongee na mum wakati yupo uswahilini na wazaz wake anakaa nao na bila shaka mama yke hana mawasliano(simu). Basi nikaona no heri nianze kuchomoa mapema kabla hajanitoa upepo, nikamwambia vocha nimeishiwa mrembo, akaongeza kuwa kwani wengine hawauzi jamani? Ninunulie basi unitumie my, nikamwambia muda umeenda wameshafunga.

Basi akanivaa mapovu acha niyaoge, Ooh "Sema umeninyima makusudi kaka, umeona ungenipa vocha unafilisika?' Hayo ni maisha tu kaka utakufa na hela zako utaziacha.

Daaaaaaaahh.., Uvumilivu ukanishinda nami nikamtolea makavu, Yani dada mimi kukuita mrembo basi umeviiiiimba mwenyewe, umekuja kuomba namba tu Big Bom imetembea , sjatulia tena saiv vocha eti uongee na mum, hiv kweli mum yko ana simu? Kuwa mkweli. Halafu unanitisha eti nitakufa hela naziacha, kwani umesikia mungu akisema kuwa anabagua wa kumpeleka kuwa ambae hana mia hampeleki ?, au ni warembo wangapi zaidi yako na wabaya zaidi yako mungu kawapeleka? Kuwa mkweli dada wala usimuingize mungu ktk haya hizo ni gear zako tu ila ukweli wewe ni mdangaji ila kwangu umegonga mwamba ila ambulia Big Bom tu inatosha naomba mpaka hapo kadange pengine"

Dada wa watu ikawa mwisho wa ukimya na kila mtu akaangalia ustaarabu wake mpaka sasa akiniangalia ananiogopa balaa, japo Big Bom ilitembea out of pay.

Mwisho nasema hivi kwenu warembo wadangajiiiiii, shikeni majembe mkalime mjifunze uungwana mkaolewe vinginevyo taabu mtaipata sana na kwa taarifa yenu siku hizi hatuogopi mapovu yennnu.

Kama imekukuta kama mimi hapo nikuone ulingoni hapa.
 
Waambie dingi...Maisha n Mafupi sana kuyatumia kwenye kudanga..ata Masela pia waache kuwachezea waschana na Kuishia kuwapa mimba na kuwatelekeza. .
 
Huu utoto bwana...yaani mwanamke anakuomba vocha na things of the like unakuja kufungua uzi seriously?

What a joke!

We need to transform these boys into men like daycare!
Nategemea kuona mrejesho wako pindi yatako kutokea hata ikiwa kwa namna ya tofauti lakini lengo ni kuelimishana, hizi tabia hazifai kwakuwa zinachochea kufanyiwa mabaya kwa wenye IQ ndogo kubeba mambo.... Mind you, One day/time utajifunza kitu mkuu.
 
Hivi mpaka unafikia ku-upload real conversation za watu namna hii inaonesha kabisa una-qualify kua kichaa kabisa!

Mshikaji anaonekana na dada anaonekana,these people have families,unaanika hapa kabisa?

JF futeni huu upumbavu kabisa!
What's the meaning of learning through practical?
 
Nategemea kuona mrejesho wako pindi yatako kutokea hata ikiwa kwa namna ya tofauti lakini lengo ni kuelimishana, hizi tabia hazifai kwakuwa zinachochea kufanyiwa mabaya kwa wenye IQ ndogo kubeba mambo.... Mind you, One day/time utajifunza kitu mkuu.

Mkuu acha uzembe bwana...

Wewe mwanamke kukuomba pesa au chochote kwa kukupa ngono ndio kitu cha ajabu?

Hivi wewe unatombaje aisee?

Utakua na matatizo sana.....na kama uko hivi utaleta nyuzi nyingi za kiajabu hiv hivi....

It is funny...

JF wataufuta sasa hivi maana kuna mpumbavu mmoja ame-upload some private conversations with their identities open as if kutongozana na kupeana hela za ngono ni kitu cha ajabu...

You people hav to leave this world and go to Mars aisee!

How can you be like this?
 
Hivi mpaka unafikia ku-upload real conversation za watu namna hii inaonesha kabisa una-qualify kua kichaa kabisa!

Mshikaji anaonekana na dada anaonekana,these people have families,unaanika hapa kabisa?

JF futeni huu upumbavu kabisa!

Sorry nimekosea brother

I hope nimeifuta tayari
 
Huu utoto bwana...yaani mwanamke anakuomba vocha na things of the like unakuja kufungua uzi seriously?

What a joke!

We need to transform these boys into men like daycare!
Sidhani ishu ka nikuomba vocha ishu ni hilo povu baada ya kuambiwa wamefunga hataweza kuipata kwa wakati huo
 
Mkuu acha uzembe bwana...

Wewe mwanamke kukuomba pesa au chochote kwa kukupa ngono ndio kitu cha ajabu?

Hivi wewe unatombaje aisee?

Utakua na matatizo sana.....na kama uko hivi utaleta nyuzi nyingi za kiajabu hiv hivi....

It is funny...

JF wataufuta sasa hivi maana kuna mpumbavu mmoja ame-upload some private conversations with their identities open as if kutongozana na kupeana hela za ngono ni kitu cha ajabu...

You people hav to leave this world and go to Mars aisee!

How can you be like this?
Umenena kweli mkuu...daah maisha yanaenda kasi sana..big bon tuu inaanzishiwa thread..vocha na sreen shot zinaletwa..kweli umaskini unashika hatamu..mtoa mada kama hataki kuombwa hata pipi...yeye vipi anataka kuomba wenzie
 
Back
Top Bottom