Kuanzia Leo sitaki michepuko haina faida

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,711
Reaction score
8,765
Kwanza niombe samahani kwa mama watoto wangu ingawa hajui kilichotokea

Ila kwangu nimeona ni risk sana na ningeweza kupoteana na familia na kushindwa kuwa huru

Nikiri tu kwamba nyege sometimes mbaya ukizijali sana unaeza ishia pabaya

Mimi Sigara Kali nliamua kutoka na binti wa miaka 18 ambaye alishamalizaga shule ila akatoka kwao kaskazini na kuja huku kanda ya mashariki kusoma tuition ili arudie mtihani

Binti alikua bado mbichi kwa tamaa zangu nikamtongoza mtoto akakubali na mwisho wa siku nikamtoa bikra mapenzi yakawa moto moto nikamtafutia hadi simu

Juzi nimemshtua nikamtie kaja lodge ya uswazi nikamtia kumbe mida anaingia kuna wakuda wakamwona wakaenda kustate kwa Mwenyekiti wa mtaa husika"kuna binti Mdogo ana umbo dogo sana kaingia ile lodge",ile dogo anatoka ndani kufika road wakambananisha na vijana wa ulinzi waliotumwa na Mwenyekiti

Ile nachomoka lodge hapo nipo mtungi namkuta dogo amesimamishwa na wananchi mi nikaanza Kuzingua pasipo kujua kinachoendelea ghafla naanza kupewa shutuma nimetoka na dogo guest nikaanza kuleta ubishi watu kibao hali ikawa mbaya nikaona huu msala nikaomba tukaongee na mwenye kiti wa mtaa nikapelekwa na dogo nyuma watu kibao kina mama wakizidi kupaza sauti kwa uchungu nipelekwe police

Kufika kwa Mwenyekiti akapagawa na sauti za kina mama wa uswahili wamama wapumbavu wasio na kazi wanapiga kelele nipelekwe police nikasema sawa twendeni

Nikapelekwa police Mimi na yule binti chini ya Mwenyekiti mkuda wa ule mtaa,police demu akatoa maelezo yake then akapelekwa kwao na Mwenyekiti

Huku kituoni mi nikavua viatu,soksi na mkanda na kutupwa selo nikalala kule hadi usiku wa manane sello imejaa vijana wengi wa Kitanzania waliokata tamaa ya Maisha na kuamua kuwa waharifu,vijana wengi niliowakuta mle ni wadogo kiumri japo wengine wana miili mikubwa

Vijana wengine wamefikia hatua ya kujisifu Maisha wanayoishi ya kulazwa selo,kuna mpuuzi akataka kuniletea ubabe wa kimaneno yani kuongea shombo dhidi yangu nikamtuliza aache upumbavu akalala

Selo ilikua imejaa watu sana ikabidi nikae karibu na chooni sakafu imeloa Maji nikakaa hivyo hivyo

Usiku wa manane nikatafuta chupa ya Maji na sehemu iliyo na nafasi ikabidi nilale na nitumie ile chupa ya maji kama mto

Nikalala pale chini selo hadi majira ya SAA 9 usiku Mara nikaitwa na askari ambaye kaishikia kesi yangu akanitoa pale selo akanichukua maelezo na kuhitaji nitoe pesa ili ila kesi aimalize usiku ule ule

Nikawaza mengi sana juu ya familia yangu,juu ya hii kesi na mambo mengine mengi nikaona sina budi kumalizana na jamaa ili Mimi niwe huru,utawala huu wa JPM ukileta kujua utatafutiwa kesi yoyote upotezwe

Basi nikaingia bank usiku wa manane nikamalizana na jamaa pale kituoni,nikaachiwa huru ila nlitakiwa nikaripoti kituoni asubuhi yake

Kimsingi najua nimepigwa hela ila nipo huru nipo nje hadi sasa

Kwa tukio hili nimeona ni bora niachane na michepuko hasa hii mitoto ipenda chips kuku

Bora kwa wakati huu nisiwe na demu nisubiri muda wa kurudi kwangu nikutane na familia yangu Maisha yaendelee
 
Mchepuko ni tatizo mkuu,unatakiwa upate anayejielewa na aelewe una mke ili msije kusumbuana,pia mchepuko usimbane kama mkeo.
 
Pole kwa kuchelewa kugundua
 
Pole mkuu, ila hapo kuna picha imechezwa upigwe ela,
Vipi baada ya hilo tukio uliwasiliana tena na huyo binti?
 
Yule mama watoto uliyemtia mimba ya pili vipi!
 
Ila wanaume sijui mmerogewa nini Na wanafunzi. Watu wazima wenzenu hamtutaki. Endelea kusikiliza nyege simu ukifungwa 30yrs utaelewa
 
Mkuu kila mtu huwa anasema hivyo hivyo pale anapopata msala kama huo "Hii ni mara ya mwisho sitarudia tena"... sasa subiri baada ya mda ukishasahau hilo tukio uone utakavyokua na kiu kali..😂
Kama ulikuwepo vile...😛😛😛 Binadamu sisi tunasahau haraka Sana. Tena huyu anaweza kurudi kwa huyohuyo dogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom