Hivi ni kweli kuwa kuna machangudoa wanajiuza kwasababu wanapenda wenyewe?

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,631
Habarini,

Nina imani wote hapa tunajua kuwa moja ya sababu inayofanya baadhi ya hawa dada zetu wajiuze ni umaskini (ugumu wa maisha) ila nimesikia tetesi kuwa kuna wengine wanajiuza kwasababu hiyo ndo hobby yao.

Je, kuna ukweli wowote juu ya hili?
 
Ukiona hachukui pesa ujue anafanya kwa kupenda ,.... Ila ukiona anachukua pesa ujue anajiuza kwa sababu hana hela
 
Kuna sababu nyinyi. Hizi ni baadhi:-
1. Mazingiza
2. uvivu na kutojishughulisha
3. Roho za kiuasherati /Mapepo (kutokuamini hakumaanishi hayapo)
4. Kushawishiwa/Tamaa
5. Laana za kifamilia
6. Kulazimishwa (kutumika kama chanzo cha ajira)
7. Kulazimishwa/ sehemu ya Kazi (sana sana intelijensia)
8. n.k

 
Kila anayejiuza anasababu zake. Mi naamini sio kwa sababu ya umaskini tu. Ingekua shida ni ajira ingekua rahisi sana kuwaondoa barabarani. Ila wengi ni wavivu na wanapenda hela bila kujituma
 
Habarini,

Nina imani wote hapa tunajua kuwa moja ya sababu inayofanya baadhi ya hawa dada zetu wajiuze ni umaskini (ugumu wa maisha) ila nimesikia tetesi kuwa kuna wengine wanajiuza kwasababu hiyo ndo hobby yao.

Je, kuna ukweli wowote juu ya hili?

Naona umekusudia kuwatukana watu mkuu ila kazi nzuri maana hawajajua bado!
 
Kuna wadada wengi wanajiuza sababu sio pesa
wengine wanataka tu short cut
wanatoka familia nzuri lakini wanataka kuwa na pesa zao wenyewe so fast
pesa nyingi ambayo hata akisoma akija kuajiriwa haipati

kuna machangudoa wana charge dollarr tu na unawakuta five star hotel tu
huwezi sema hao walikuwa hawana 'options' zingine
 
Hao Wa Maofisini Ndio Watamu Sana, Nina Mmoja Yupo Crdb Bank Yaani kabla ya Kukutana naye Sikuwahi Kuingia Movenpick Lakini Aliponiweka Tu Kwa Himaya Yake ni Mwendo Wa Kula Vyuku Kwenda Mbele. Nb Sijawahi Kwenda Corner bar Wala Kimboka, Sewa Na Hata Ohio
 
Back
Top Bottom