Mke wangu anamshobokea jirani yetu

Mke wangu anamshobokea jirani yetu

JOTO LA MOTO

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2018
Posts
766
Reaction score
563
Hicho ni kilio kutoka kwa Jamaa yangu mmoja, anadai imefika mahali wapo ndani ikisikika ngurumo ya gari mke anashtuka na kutamka 'Amos huyo' Jamaa anadai jirani huyo 'Amos' ndio yupo kwenye hatua za mwisho kukamilisha nyumba yake hiyo wanayopakana naye, Jamaa ameendelea kusema, huyo (Amos) yeye wala haonekani kumshobokea mkewe, na pia ni mtu anayeonekana mstaarabu sana na mwenye heshima, mwenye uwezo wake na mara nyingine huja akiambatana na mkewe na watoto wao wawili wadogo.

Jamaa anaomba ushauri afanye nini kwani ameshachoka na mwenendo wa mkewe, na hajui la kufanya.
 
Hicho ni kilio kutoka kwa Jamaa yangu mmoja, anadai imefika mahali wapo ndani ikisikika ngurumo ya gari Mke anashtuka na kutamka 'Amos huyo'....Jamaa anadai jirani huyo 'Amos' yupo kwenye hatua za mwisho kukamilisha nyumba yake hiyo wanayopakana nayo...Jamaa ameendelea kusema, huyo (Amos) yeye wala haonekani kumshobokea Mkewe, na pia ni Mtu anayeonekana mstaarabu sana na mwenye heshima, mwenye uwezo wake na mara nyingi huambatana na Mkewe na Watoto wao wawili wadogo.
Jamaa anaomba ushauri afanye nini kwani ameshachoka na mwenendo wa Mkewe, na hajui la kufanya.
Mkuu au ni wewe mwenyewe? Jamaa ,,jamaa gni? Weka mpira kati usaidiwe,,,pengine huyo AMOS mwenyewe yupo humu...
 
Mshauri akubali matokeo tu maana kwa desturi ya hawa dada zetu wakishaamua lao kila ukimkataza ni kama unamsukuma akafanye zaidi.
Siku atakayosikia Amos hashobokewi tena basi hapo ajue kuwa mama watoto wake keshatimiza lengo lake tayari.
 
Labda anakumbukia kuwa Amosi wake alikua anamkuna vizuri
 
Natumai Jesho utakuja na uzi kwamba Yule Jirani anayeshobokewa na Mke wangu Kamla mke wangu
Kuna Watu wana msimamo mzee baba, hata Mwanamke ashoboke vipi wala hawahangaiki nao.

Na according to Jamaa tatizo wala sio kugongewa, tatizo ni shobo za Mke zinakera, hata akigongwa kimya kimya basi afadhali.
 
vumilia tu, mwambie ajifunze ku-contain her excitement
ila usipokaa fit usishangae akaliwa hivi hivi unamuona
 
Haya mambo haya!Mpotezee tu mkuu ila ujue keshamla Amos kihisia!Na usishangae siku moja wakati wa tendo la edeni akanogewa na kupiga ukelele wa amosiiiiih uuugh..
 
vumilia tu, mwambie ajifunze ku-contain her excitement
ila usipokaa fit usishangae akaliwa hivi hivi unamuona
Hiyo ndilo linalomkera Jamaa.

Wife anashindwa kuficha hisia zake ili hali wanafahamiana hata na Mkewe lakini Wife hana habari sana na Mwanamke mwenzake.
 
Hicho ni kilio kutoka kwa Jamaa yangu mmoja, anadai imefika mahali wapo ndani ikisikika ngurumo ya gari Mke anashtuka na kutamka 'Amos huyo'....Jamaa anadai jirani huyo 'Amos' ndio yupo kwenye hatua za mwisho kukamilisha nyumba yake hiyo wanayopakana nayo...Jamaa ameendelea kusema, huyo (Amos) yeye wala haonekani kumshobokea Mkewe, na pia ni Mtu anayeonekana mstaarabu sana na mwenye heshima, mwenye uwezo wake na mara nyingi huambatana na Mkewe na Watoto wao wawili wadogo.
Jamaa anaomba ushauri afanye nini kwani ameshachoka na mwenendo wa Mkewe, na hajui la kufanya.
Mwambie afanye kazi kwa juhudi na maalifa ajitume sana huku akimuomba mola wake amuafikishe kupata pesa ya kununua gari zuri zaidi ya hilo la Amosi naamini hapo shobo ya kumshobokea huyo itaisha na badala yake itahamia kwake
 
Nafiri ahame hapo, mpaka aje kununua gari huyo mke atakuwa salama mbele ya Amos ?
 
Hicho ni kilio kutoka kwa Jamaa yangu mmoja, anadai imefika mahali wapo ndani ikisikika ngurumo ya gari Mke anashtuka na kutamka 'Amos huyo'....Jamaa anadai jirani huyo 'Amos' ndio yupo kwenye hatua za mwisho kukamilisha nyumba yake hiyo wanayopakana nayo...Jamaa ameendelea kusema, huyo (Amos) yeye wala haonekani kumshobokea Mkewe, na pia ni Mtu anayeonekana mstaarabu sana na mwenye heshima, mwenye uwezo wake na mara nyingi huambatana na Mkewe na Watoto wao wawili wadogo.
Jamaa anaomba ushauri afanye nini kwani ameshachoka na mwenendo wa Mkewe, na hajui la kufanya.
Huyo Jamaa ajilipue tu.

Amuite Amos chemba na amueleze ukweli kuwa Mkewe haeleweki hivyo naye awe muungwana asije akamlegezea.
 
Back
Top Bottom