Hivi msichana wa miaka 20 anaweza kuolewa akayajua majukumu ya ndoa?

Kasinja jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2017
1,034
1,792
Habari zenu wazima wakuu?
Nina umri wa miaka 29 nimepata mchumba Ana miaka 20, hii imekaaje kabla sijaendelea na hatua nyingine,

Je kuna madhara ya kumuoa msichana wa umri uo?

Pili kwa waliona uzoefu waliwahi kuoa wa umri huo je wanayamudu majukumu ya family?

Naomba ufunguke itanisaidia sana hii
 
Labda uwe na bahati, wengi hawa wa mjini wa kizazi cha dot.com hadi miaka 25 wanakuwa bado hawajielewi. Utashangaa kipindi cha nyuma ambapo nafasi za kwenda sekondari zilikuwa chache hasa maeneo ya vijijini mabinti walikuwa wanaolewa baada ya kumaliza shule ya msingi kati ya miaka 14-16 na wanafanya majukumu ya familia bila shida. Si unajua kijijini hakuna lelemama
 
Kiukweli huo umri unafaa kuoa iwapo unahitaji mwanamke ambaye utamjenga wewe awe kwa namna ambayo wewe unataka na jinsi upendavyo.Jambo la muhimu ni uende nae taratibu,umfundishe mambo mengi na kitandani hakikisha unamshughulikia ipasavyo.

Iwapo unatafuta mwanamke matured basi itategemea na maisha ya kwao ila wanaoleka.Vile vile jiandae kukuta mkeo anatongozwa tongozwa hovyo na watoto wenzake mpaka upate ugonjwa wa moyo
 
Duh umesema ukweli aisee
 
Habari zenu wazima wakuu?
Nina umri wa miaka 29 nimepata mchumba Ana miaka 20, hii imekaaje kabla sijaendelea na hatua nyingine,

Je kuna madhara ya kumuoa msichana wa umri uo?

Pili kwa waliona uzoefu waliwahi kuoa wa umri huo je wanayamudu majukumu ya family?

Naomba ufunguke itanisaidia sana hii
Mkuu, kwa umri wako huo sio mbaya ina maana wote mtaanza maisha pamoja mkiwa na akili zinazoendana. Miye nilioa nikiwa 30 na Mwenzangu alikuwa 23, sikuwahi kuona mabaya yoyote. Kama unaona ana tabia nzuri, chukua hilo jiko. Wengi wanaokushauri humu hawajaoa. Huo umri wako, anayekufaa ni huyo wa 20 zaidi ya hapo, atazeeka akuache. By the way, huo ni umri ambao kama utampata mwanake aliyetulia, naye ukatulia itakuwa rahisi kumjengea tabia unayotaka.
 
Kiukweli huo umri unafaa kuoa iwapo unahitaji mwanamke ambaye utamjenga wewe awe kwa namna ambayo wewe unataka na jinsi upendavyo.Jambo la muhimu ni uende nae taratibu,umfundishe mambo mengi na kitandani hakikisha unamshughulikia ipasavyo.

Iwapo unatafuta mwanamke matured basi itategemea na maisha ya kwao ila wanaoleka.Vile vile jiandae kukuta mkeo anatongozwa tongozwa hovyo na watoto wenzake mpaka upate ugonjwa wa moyo
kwa post hii uzi huu usiendelee kuchangiwa, umemaliza yote yotee
 
Back
Top Bottom