Kuwa na mtoto wa kiume ndio uanaume

Kuwa na mtoto wa kiume ndio uanaume

othuman dan fodio

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
7,719
Reaction score
12,249
Zipo familia nyingi zimejikuta ktk hali ya sintofahamu na migogoro isiyokwisha kwa sababu ya kukosekana kwa mtoto jinsia ya kiume hapa sizungumzii zile familia ambazo hazijabarikiwa kuwa na mtoto kabisa.

Wanaume wengine wameamu kwenda mbali zaidi hata kutoka nje ya ndoa zao ilimradi tu mtoto jinsia ya kiume ipatikane, hii imechangiwa na tamaduni zetu za kiafrika kwamba mtoto wa kiume ndie anaeendeleza ukoo na sio mtoto wa kike.

Kwazile familia ambazo zilikuwa zime settle kwa muda mrefu maisha ya amani baina ya wanandoa.. Zimejikuta zikiingia matatizoni kama mtoto wa kiume atakosekana ktk muda wote huo ambao wanandoa watakuwa wameishi pamoja...

Vijana wa kileo wanakuwa na furaha na kujiona vidume vya mbegu pale wanapompa msichana ujauzi na hatimae msichana anapojifungua furaha huongezeka mara dufu hata kama jinasia ni ke kwakuwa ni uzao wa kwanza,

Lakini hali huwa tofauti kama uzao unaofuata wataendelea kuzaliwa jinsia ya ke, hapo mahusiano huingia shubiri na hatimae kuparaganyika kabisa..

Hii inadhihirisha kidume bila mtoto wa kiume haujakamilika bado, barak Obama aliyekuwa Rais wa marekani angekuwa na furaha zaidi kama ktk uzao wake angekuwa na kidume lkn ndio hivyo mungu hakumjaalia,

Upo usemi usemao " A man without a boi is the man without future, ni hayo tu wadau msijenge chuki kwa wale ambao hatuna hiyo jinsia ila tusikate tamaa ipo siku kitu kitajibu...
 
Upumbavu mtupu na kama hujazaa angalia usije ukawa Mgumba
 
Leo hii baba keagan confidence imeongezeka unajua kwa nn? Jibu unalo kawapita hadi wale waliodai ni unproductive, hapana chezea kitu dume
 
Mambo ya zamani hayo siku hizi mtoto ni mtoto tena afadhali upate mtoto wa kike, watoto wa kizazi hiki wa kiume watakuvalia hereni, cheni, mlegezo na wanatembea wakikatika viuno, ni headache aisee vitoto vya kiume vya sasa.
 
Back
Top Bottom