Very interesting yapata km miaka 14 sasa tangia nianzishe uhusiano na huyu mdada.
Kuna msemo kwamba "UKIONA NYANI MZEE UJUE KAKWEPA MISHALE MINGI" nikiwa form two nilianzisha uhususiano na mdada mmoja jina kapuni (huwa napenda kumwita SUMAWANGU) sasa huyu mdada tumepitia mengi sana tunagombana na kuziliana km mwaka mzima akinimiss anaomba suluhu tunayamaliza mizengwe weeh tangu tukiwa watoto sasa watu wazima.
Kiukweli she is decent nisimwongopewee km tofauti zetu siku zote nilichangia km kwa asilimia 80%, siyo mzuri kivile ingawa si haba chura, face hatishiwi na nyau.
Binafsi nilikuwa greater cheater kwa miaka 13 hii ya uhusiano na yeye list yangu hawapungui wadada ishirini(20+) na yeye akiwemo ingawa nilimbana akaniambia ukweli kuwa aliwahi kuchepuka na jamaa mmoja tu ambaye walisha temana muda.
Ni mwalimu na kiukweli ananipenda sana na tumepitia magumu sana, ingawa huwa najiuliza in 20+ girls niliotembea nao for 13 yrs sijaona mke wa maana zaidi yake labda wapo wanao mzidi sura tu, ila kichwa yuko vizuri hapa tayari kajenga nyumba kabisa. Kwa ratio 20+:2 mimi na jamaa aliyepitia udhaifu/uzembe wangu akala mzigo naona yuko vzr kunizidi. Afu pia kwa kigezo cha dini naona km huyu ndiyo ubavu wangu for 13 yrs kuachana tunarudiana bado akajitahidi kuwa mwaminifu bibafsi naona nimzawadie ndoa SUMAWANGU JAMANI naomba watu wazima tu mnishauri kizazi cha bodaboda(1990s) sitaki mawazo yenu ni wapotoshaji.
Karibuni mnishauri jamani hili toto la magufuri (sukuma) nioe au vipi heshima full debe ingawa huwa ana wivu na hasira kiasi fulani.[emoji120] [emoji120] [emoji7] [emoji7] mahaba niue mie.