Wanawake mi huwa nashindwa kuwaelewa

Wanawake mi huwa nashindwa kuwaelewa

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,194
Reaction score
1,636
Kila mwanamke ukimtongoza anakujibu ana mpenzi wake na wanapendama saana


Ukienda kwa wanaume kila mwanaume ukimuuliza anakujibu kuwa hana mpenzi


Sasa najiuliza wanawake hawa wapenzi Wao wanao pendana nao hao ni akina nani maana mwisho wa Siku utamkuta kwa mganga anatafuta mume
 
Kumwelewa homosapiens mwenzako ni kazi ngumu kwa kuwa huwezi kumkataza homosapiens kufikiri na kuwaza.ndo hivo
 
Kila mwanamke ukimtongoza anakujibu ana mpenzi wake na wanapendama saana


Ukienda kwa wanaume kila mwanaume ukimuuliza anakujibu kuwa hana mpenzi


Sasa najiuliza wanawake hawa wapenzi Wao wanao pendana nao hao ni akina nani maana mwisho wa Siku utamkuta kwa mganga anatafuta mume
Pengine hajakupenda, anatafuta sababu ya kutokuona amekukataa kavukavu.
 
wewe umewakuta wangapi kwa mganga wakitafuta waume ?
 
umeshindwa kuwaelewa?
au huwa unajua kuwa wao nao ni wanaume nini?
 
Hili suala la mwanadada kudai kuwa ana mpenz limekuwa janga hivi sasa kitaa
 
Back
Top Bottom