Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,065
- 10,384
Dah! Leo nimepita mitaa fulani uswazi nimekuta bonge la mtafaruku, jamaa kamfumania mkewe anatafunwa kwenye nyumba ya jirani yake.
Cha ajabu mwenye mke alidai alipwe laki 4 ya fumanizi yaishe, kweli bana jamaa kaingia ndani katoka na laki 4 kamkabidhi mwenye mke.
Akazihesabu kisha akaita bajaji akasepa na mkewe ajabu sana, nasubiri mfumaniwa atulize akili nikaongee naye kishkaji.