Changamoto za kuoa wanawake wawili!

Changamoto za kuoa wanawake wawili!

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,033
Ndugu wana jf km kawaida yangu Leo Niko off napiga supu ya dagaa hapa beach..
Nimetafakari Changamoto za wake2 kwangu binafsi

1. Wake zangu nawapenda wote ila wao hawapendani uwa haipiti mwezi bila wao kugombana..Mara nyingi simu yangu ndio chanzo nikiwa mafia kwa mke mdogo ugomvi ndio unazidi,hapendi kuona jumbe za mahaba za mkubwa

2. Changamoto za uchovu kwenye game,kazi zangu zinachangamoto ya stress na frustration bahari ikichafuka samaki hakuna..pia some tym shamba la chumvi limenyeshea mvua maana yake chumvi haikauki ...stress zinaanza na wakati huo ni zamu ya mke mdogo...uwa aelewi inafikia hatua unafanya love kwa kuforce tu.

3. Wivu wivu ndugu, unasafiri miezi2 unarudi unakuta mke hana nyege wala nn,visibgizio kibao bwana eeh inauma unawaza nishaibiwa hapa...

4.Huduma kwa familia na ndugu wale wanaotaka wake2 wajipange kwa huduma ...pango,ada n.k mfano Mimi natumia not less than .... ...kwa mwezi sio vizuri kutaja.. Ndio maana chumvi hisipokauka na bahari ikichafuka naumwa homa kabisa

Ziko nyingi sana wadau ndogo na kubwa .
Ila nyie wamama hakuna mwanaume anaridhika na mwanamke1 hayupo km amekuambia anakudanganya....
Faida ya kuwa na wake wengi ni kubwa sana.
 
Unajidanganya, hao Wanawake wote 2 wana Wanaume pembeni ila wanakuzuga shauri wanakuhitaji labda, lkn Mwanamke hagawani penzi na Mwanamke mwenzie hata siku moja, ni lazima wana Wanaume pembeni ambao wako in love nao!
 
Wanaume mliooa mke zaidi ya mmoja hufa mapema aisee nguvu tu za kuridhisha mmoja shughuli pevu ndo wawili aisee, na hzi vyuma Angelia usiache watoto kwa kufa siku si zao, hafu ndoa ya mitala hufanya wanawake wachepuke in short ni shida tu Ku share mapenzi ni ngumu mazee, ongezea na watatu
 
Huo ni mtazamo wako tu...viongozi wengi wana wake2 mfano makamu wa rais aliyepita yupo hai hadi Leo..
Pia mwanamke anaridhika na mengi mapenzi tu
Nitaoa wa3 inshalaah soon
 
Wanaume mliooa mke zaidi ya mmoja hufa mapema aisee nguvu tu za kuridhisha mmoja shughuli pevu ndo wawili aisee, na hzi vyuma Angelia usiache watoto kwa kufa siku si zao, hafu ndoa ya mitala hufanya wanawake wachepuke in short ni shida tu Ku share mapenzi ni ngumu mazee, ongezea na watatu
aongeze wa tatu tena?, atafia kwenye ile kitu aisee.
 
Unajidanganya, hao Wanawake wote 2 wana Wanaume pembeni ila wanakuzuga shauri wanakuhitaji labda, lkn Mwanamke hagawani penzi na Mwanamke mwenzie hata siku moja, ni lazima wana Wanaume pembeni ambao wako in love nao!
Soma tena ulichoandika halafu kanusha kauli moja tu "mwanamke hagawani penzi na mwanamke mwenzio"
 
Wanaume mliooa mke zaidi ya mmoja hufa mapema aisee nguvu tu za kuridhisha mmoja shughuli pevu ndo wawili aisee, na hzi vyuma Angelia usiache watoto kwa kufa siku si zao, hafu ndoa ya mitala hufanya wanawake wachepuke in short ni shida tu Ku share mapenzi ni ngumu mazee, ongezea na watatu
Kuchepuka ni tabia,ukiwa mkristo basi heshimu dini za wenzako.Kwao kuoa mwanamke zaid ya mmoja si vby na ukumbuke wanawake wapo wengi waache wanaoweza kuwasitiri wawasitiri.
 
Acha upotoshaji kutokuridhika kwako na mke mmoja ni hyo ni wewe, na usigeneralize kwa wanaume wote.Mimi simo
 
Wanaume mliooa mke zaidi ya mmoja hufa mapema aisee nguvu tu za kuridhisha mmoja shughuli pevu ndo wawili aisee, na hzi vyuma Angelia usiache watoto kwa kufa siku si zao, hafu ndoa ya mitala hufanya wanawake wachepuke in short ni shida tu Ku share mapenzi ni ngumu mazee, ongezea na watatu
Wapo walioolewa mke1_ na wanachepuka
 
Kuchepuka ni tabia,ukiwa mkristo basi heshimu dini za wenzako.Kwao kuoa mwanamke zaid ya mmoja si vby na ukumbuke wanawake wapo wengi waache wanaoweza kuwasitiri wawasitiri.
Kusema ukweli ndo siheshimu dini wewe vepee, mwingine ana wake wawili huku hata kumkojoza mke mmoja hawezi unategemea nini hapo hafu viugomvi na upendeleo lazima watoke nje,mtu hupenda mmoja the rest ni tamaa tu. Nani kasema tuko wengi ratio ni almost sawa dunia iliubwa kwa Ku balance usisingizie wingi njoo na scientific proof usiwe ka jiwe kuwaza uzinzi tu.
 
Back
Top Bottom