Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,311
- 12,200
Hivi unakumbuka papuchi iliyosababisha ukafanya vitu vya ajabu kuipata!?. Me mojawapo ni hii hapa:
Kipindi nasoma chuo nilipanga, Sasa kuna msichana fulani tulizoeana tu kwa salamu ila yeye alikuwa Accounts (tuliwaita calcurator ya boss) wakati huo mimi nachukua BA. Kisa cha kujuana nae, nilipokuwa nimepanga rafiki zake nao walikuwa wamepanga pia ila yeye alikuwa hostel.
Yule msichana nilikuwa namtamani sana, lakini sikuwa na mazoea nae ya karibu zaidi ya kukutana koridoni sometimes anaingia chumbani kwa wenzake pale home. Basi nikaanza kuumiza kichwa nampataje bila wenzake jua namfukuzia ukizingatia wananijua nikienda Club kurudi sikuwa nalala mwenyewe🙂 ina maana nikiwaonyesha harakati wataniharibia.
Siku moja nipo zangu nawaza kumpiga kibomu bimkubwa, ghafla hodi kumcheki yule msichana yupo mlangoni. Anasema alikuwa kaja kwa wenzake akaamua aje kunitembelea acheki nina movie gani kabla hajaingia kwa wenzie!. Mtoto kuingia ndani nikamuwekea movie (nadhani alipewa sifa yangu, nilikuwa na mazoea na ticha flani wa IT alinipa hadi password ya Wifi yao so kushusha movie kwangu ilikuwa kawaida).
Hapo nawaza leo lazima maji yaitwe mma lakini kimbembe kikaja sijawahi kuleta mazoea nae ya ukaribu kuweza ingiza story za mapenzi sasa nitamuanzaje bila kumfanya aogope asije piga kelele anabakwa nikaharibu kwa majirani.
Round ya kwanza ikabidi nifanye naenda chooni ili nikasome upepo nje nikasikia wenzie wanapiga story full kucheka ina maana hawajui mwenzao yupo kwangu? Au wanajua ndio wanapiga umbea navyojisevia mwenzao?
Ikabidi nirudi ndani kupanga mashambulizi upya, mtoto kakaa kona ya kitanda anaangalia movie mie pembeni ya kitanda (naanzaje kumfata kwenye kona?)
Nikifikiria nifanye nataka osha vyombo anaweza taka kunisaidia wenzie wakimkuta pale uwani nitamkosa, nikifikiria kumfatia soda kwa mangi naona mbali, au nimuwekee porno kwa bahati mbaya lakini atanionaje!?. Ikabidi niigize kuna joto mule ndani naenda oga (wakati huo hakuna joto wala nini). Mtoto wa kiume mpaka nilioga bila kupenda, kurudi ndani ikabidi nijitoe fahamu kumwambia kiutani aangalie nguo gani inanifaa kuvaa wakati huo, ile kunichagulia tu ikawa imekula kwake, nikamuomba anivalishe kabisa, kuinuka tu kuja kwangu ikawa basi tena mtoto ndo kaingia kwenye love affair za Palantir 😀
Alikuja kuniachana kwa kunifumania, lakini atabaki kuwa moja ya Papuchi iliyonifanya nikawaza vitu vya kijinga kuipata!.
Hebu tiririkeni vimbwanga mlivyokutana navyo kwenye harakati zenu whether hit n' run au full commitmment relationships. Tuvumiliane tu!.