Asikudanye mtu uzuri wa gari ni body hata likipita barabarani utavutiwa na body na si kingine gari hata iwe na sura nzuri lakini body limepondwapondwa hadi kupoteza shape hamna atakayelitaka gari...
Kutokana na tatizo la madomo zege kuongezeka nimeamua kujitolea tu ili kuokoa team kiumeni!
Hii inawahusu hata wale ambao hawawezi kumshawishi mwanamke amkubalie!
Hizi ni baadhi ya mbinu tu...
Nimetembea na vidume wakutosha na kuna wengine niliambiwa wana ngoma, lakn nilipima na kukutwa damu safi. Hilo halikunishangaza sana kwani wale niliotembea nao sikuina kama wana dalili za kuwa na...
Habari wanajamvi...
Hivi juzi nilikutana na mtwasi mwenzangu na tukawa na stori za hapa na pale kuhusu maisha. Katika mazungumzo tukagusia maendeleo ya watoto shuleni.
Jamaa ana watoto wa kiume...
Sifa ya kwanza awe muajiliwa au kajiajiri
Sifa ya pili awe tayari na miaka kuanzia 25 mpaka 35,
Asiwe na zaidi ya mtoto moja
Sichagui dini wala kabila
Awe mzuri wa wastani na mnene kiasi na wowo...
Habari jf natafuta Mke wa kuoa alie Na sifa zifuatazo 1. Ajue kusoma na kuandika 2.awe na heshima 3. Mweupe ama Maji ya kunde 4. Asiwe mfupi sana wala mnene sana 5.umri miaka 18-26 .karibuni PM...
Ni muhimu sana kuzingatia uzazi wa mpango siku hizi kwani kutokana na kuporomoka kwa maadili, baadhi ya watoto wamekuwa ni mizigo badala ya hazina katika familia.
Watoto hawawezi kuwa tofauti...
Habarini wanazengo
Unajua mwanzoni ilianza kama mzaa hivi watu walikuwa wanataniana wakicheka na hakuna aliyekuwa anamaindi lakini upepo umebidalika kwa kiasi kikubwa na kama hatua madhubuti...
Binafsi nina ndoa na ni mwaka wa pili sasa, nampenda wife sana ila kwenye mechi naendaga round moja nikijitahidi sana mbili, lakini ikitokea nimeterereka!! duuuhh huko nje naperform vizur sana, je...
Natumaini wote mnatekeleza majukumu yenu bila shida pamoja hofu za hapa na kule, kiuchumi na kijamii poleni kwa wenye kuistahili na hongera kwa wote wenye utulivu katika vitanda vyao wanavyolalia...
Salaam wadau,
Ni kawaida katika mahusiano ya mapenzi baina ya mwanaume au mwanamke mmoja anaweza kuamua kusitisha uhusiano kwasababu fulani au hata bila kutoa sababu maamuzi ya mtuyanapaswa...
Habari za mihangaiko wakubwa na wadogo.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nipo mtaa fulani maeneo ya Zanzibar nimeamua kuhamia juzi juzi baada kununua nyumba, lakini umeme umo maji hamna.
Basi...
Hii ni mada ya muendelezo katika mada zangu za maslahi kwa wanaume ambapo hua nawapa ushauri wanaume wenzangu kuepuka makosa makubwa kwenye mapenzi ambayo yanaweza kuepelekea kujiua au kuua mtu...
Yani mimi baadae nikija kuwa na familia yangu na watoto baadae nikaachana na baba yao basi uyo baba akae na ajue hatakuja kuwaona watoto tena katika maisha yake ata akiwaona atakua anawaona tu...
Kuna msemo unasema Baharia hatishwi na mawimbi ya bahari,
Wale wanachama wenzangu wote wa kupiga deki kule uvinza tukutane hapa tukidumishe chama chetu kiweze kufika mbali zaidi,
Haijarishi huko...
Tupo ktk zama ambazo wanawake weng hujipamba kwa uzuri wao, mapambo yao kwa kutumia mali zao, na wengine huvaa stara aidha kamili au isiyokamili ili kuwadanganya na kuwavutia wamaume kuwa nao pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.