Katika maisha unaweza kuwa na mtu ambaye pengine unapanga upite tu sio mtu mwenye vigezo unavyotaka au unaona hamtoenda sawa mbeleni lakini ikatokea amekuganda na we pengine yawezekana umempenda...
Naomba nikumbushie tuu MUNGU kaonya uasherati na uzinzi!
1/Tendo la ngono linalofanywa nje ya ndoa ni batili so tendo la ngono linalofanywa ndani ya ndoa ndilo lililokubakliwa na MUNGU na huitwa...
Wasallaam wakuu wangu wa nguvu
Ndugu wakuu hebu naomba mnisaidie hili tatizo shida ni nini hasa toka nimeanza mahusiano sijawahi maliza mwaka 1 na msichana yani imekuwa shughuli si mchezo
Kwangu...
Jamani kila mtu anayafahamu mapenzi!
Sasa kwangu mimi naona faida zake ni ndogo kuliko kile tunachotegemea!
Wapenzi wengi wameishia kuumizana moyo, kutalikiana, kuambukizana magonjwa, kujiua, kuua...
Habari Wakuu!
Tunu kutunukiwa, na mwenye nyota siku zote hung'ara. Misemo hiyo imenitukia mimi Joka lenye kutambaa na kuzama kunako mashimo yenye kiza.
Jana ilikuwa wikiendi. Ninapokaa ni karibu...
Hope mko poa
Kwa miaka ya hivi karibuni wanawake wengi wamekua na perspective tofauti kuhusu wanaumea.wanawake wengii wa siku hizi wanapambana peke yao wawe na maisha yao peke yako na wengi...
Ikitokea nikaanza tena mahusiano ,sitapima tena ngoma nimechoka hata damu itaisha sasa. Nishapimana saana.
Nifanyeje wadau nibaki single forever au nifanyeje Na condomu zina cancer?
Nimewaza tu...
wakuu kwema,
nna mpenz wang now tuna two years shida inayouniumiz kihisia ni hii huy mpnz wang ni mchaga tulikutn uko irng kipnd fln nilimuaproach kam mwak mzima hv anachomoa tu mpk mwsho...
Nilishakutana na mademu wengi sana kunako 6 kwa 6 ila sijawahi kuscore nao kuanzia 4 ni mwendo wa tatu au 2 ata tufanye vipi?
Mwisho wa siku wanaishia kulalamika na mi kuniacha na kile kigenye...
Habar zenu wakuu
Kama kichwa kinavyosema, kwa sasa nipo wilaya ya liwale mkoani Lindi km kuna marafiki tuwasiliane hapa ili tupate kujuana
Naomba kuwasilisha
Nimepatikana!
Nipo kipindi kigum kuna mimba mwanamke mpenzi wangu ananiambia nimempa na sikutarajia kabisa kwani maisha yangu bado sijajipanga nawaza sana.
Mwanamke ananiambia ye hajui la...
Habari wakuu
Jioni nilikuwa napiga vyombo mara text ikaingia kutoka kwa mpenzi wangu akawa ananiambia ikifika mwezi wa kumi anataka tuoane nisipofanya hivyo anajua cha kufanya.
Mimi na yeye tuna...
Za Jumapili wa MMU
wakati watu wanaendelea kumtafuta bilionea MO maeneo mbalimbali ya Dar es salaam na viunga vyake,nawauliza watu wa Dar
Miezi ya hivi karibuni limeibuka hili neno "Kudamshi...
Nina mpnz wangu ambaye tunapendana sana. Yapata miaka 2 hiv na ushee toka tuwe pamoja. Tunashirikiana kwenye maswala mbalimbali ya Maisha na Kimaendeleo simply she is wife material kabisa.
Ila...
Mrembo martha kwamboka Ogero wa kayole kenya alijiua kutokana na maisha magumu na kushindwa kulipa kodi ya nyumba ya miezi miwili.
Toa maoni yako
Mimi binafsi kwa Uzoefu wangu wa kutazama picha...
Binti mmoja anayefahamika kwa jina la Beth (miaka 18), amenusurika kufa baada ya kunywa sumu ya panya. Katika chumba chao kulikuwepo na kisu ambacho inasadikika kuwa huenda alitaka kukitumia...
Nimechoka na upweke.
Natafuta mwanaume aliye serious kabisa kujenga maisha.
Sifa zake;
Mrefu
Awe anajishughulisha na kazi yeyote halali
Asiwe Muhaya
Elimu kuanzia la saba
Sifa zangu;
Mimi ni...
Asikudanye mtu uzuri wa gari ni body hata likipita barabarani utavutiwa na body na si kingine gari hata iwe na sura nzuri lakini body limepondwapondwa hadi kupoteza shape hamna atakayelitaka gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.