Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Kutokana na tatizo la madomo zege kuongezeka nimeamua kujitolea tu ili kuokoa team kiumeni!
Hii inawahusu hata wale ambao hawawezi kumshawishi mwanamke amkubalie!
Hizi ni baadhi ya mbinu tu nakudondoshea hapa!
1:Ikumbukwe kwanza wanawake wengi wa kiafrica wana pupa na maisha na wanategemea papuchi ili kutoka kimaisha!sasa wewe mwanaume inabidi ujitahidi uwe na muonekano Fulani ya Pesa(muonekano huongeza uwezekano)ili mtoto ukimwambia wewe ni mwanasheria wa kujitegemea akuamini bila shaka!kwahiyo jitahidi sana mtoto wa kiume usinyoe kiduku!
2;Hakikisha unatembea na business card za uzushi uzushi hii ni kutokana kuwa kuna mademu unaweza kuwaachia business card wakakutafuta wenyewe!
3;Mwanamke usimuulize kama ana mtu ama yupo single cha msingi mwambie unataka kumtoa dinner KFC akikubali ni swala la wewe kujiongeza tu hapo hahitaji kutongoza tena
4;Kwa Mwanamke anajifanya ana tamaa sana wewe jifanye ni Gentleman na kumsomesha kuwa kwa vile umeajiriwa kila mwisho wa mwezi utampa nusu ya mshahara wako,akikubali unakula mzigo Mara tatu kisha una block!
Kwa sababu ya time narudi kumalizia hapo chini