Mwanaume kufanya haya makosa uishi maisha marefu-2.

Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,573
2,000
Hii ni mada ya muendelezo katika mada zangu za maslahi kwa wanaume ambapo hua nawapa ushauri wanaume wenzangu kuepuka makosa makubwa kwenye mapenzi ambayo yanaweza kuepelekea kujiua au kuua mtu iwapo utayafanya.

Katika mada yangu ya kwanza Mwanaume epuka haya makosa uishi maisha marefu - JamiiForums nilishauri wanaume kuepuka kua na mwanamke mmoja na ukampenda yeye peke yake na akajua umempemda, mbaya zaidi ukampa moyo wako na kuwekeza hisia zako zote kwake, siku akikuacha unaweza kujiua.

Nimesikitika kufaham kua kijana mmoja mtoto wa muhubiri mmoja wa mambo ya mungu hapa Tanzania kajiua(attempted suicide) kutokana na msongo wa mawazo baada ya kuacha na mwanamke ambae alimpenda kwa moyo wake wote na nguvu zake zote, nasikitika pia kufaham kwamba huyu kijana hakupata kusoma ushauri wangu wa awali asingefanya huo ujinga, hivyo ninapopata taarifa za kusikitisha namna hiyo nawiwa kuendelea kushauri wanaume wenzangu.

Ni kosa kubwa na kubwa sana mwanaume kua na mwanamke mmoja, hii ni sawa na kujichimbia kaburi mwenyewe, wanawake kwenye mapenzi sio watu wa kuwaamini 100%, ni watu wanaoongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia, hisia hubadilika kwa urahisi, hivyo mwanamke hubadilika kwa urahisi.

Epuka kua na mwanamke mmoja na ukampenda yeye peke yake, usichezee maisha yako kamali, usiweke maisha yako rehani, asili tu inaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume, unadhani wanazaliwa wengi kwa ajili ya maonyesho?

Jifunzeni toka kwa Ibrahim, alikua na wake wengi na Mungu akampenda, Yakobo alioa mtu na dada yake Mungu akampenda, Suleiman kila mtu anajua na mifano ipo mingi. Wengi waliokua wana wanawake wengi ndio walikua marafiki wa Mungu.

Ukweli ni kwamba wanaume tuko emmotionally weak kuliko wanawake, tuko so sensitive na stress kwa muda mrefu kuliko wanawake, hvyo msongo wa mawazo hutuathiri sana. Tuepuke makosa yanayoweza kupelekea tukaathirika kihisia na kupelekea kufanya mambo ya kijinga katika jamii, makosa moja wapo ni kua na mwanamke mmoja, siku akienda tofauti na matarajio yako unaweza kujiua. Haya ndio yaliyomtokea dogo.
 
mapipando

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
2,884
2,000
Mkuu kuna baadhi ya watu wamelishwa the so called "limbwata" hawaelewi hata uwaambie kwa lugha yao ya kijijini.
 
The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
5,866
2,000
Hayo ni matakwa ya mwili ,mpango wa mungu tangia awali ni make mmoja Mme mmoja .Ila tumeonywa enyi wanaume ishini nao kwa akili maana sio ma.mako Hugo kaa kijanja
 
mapipando

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
2,884
2,000
aiseee
mi natafuta mwanamke wa kunilisha limbwata
Thad huwezi kunilisha limbwata ?
Hahaha mkuu ukilishwa limbwata unakuwa mjinga haswa, utafokewa kama mtoto hata mbele ya watu na bado utaona mke/mpenzi wako yuko sahihi, utaenda gengeni wewe, utapika wewe, utaosha vyombo wewe na usipovitakatisha papuchi hupewi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,875

ndo navyotaka
 
Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
6,737
2,000
Hii ni mada ya muendelezo katika mada zangu za maslahi kwa wanaume ambapo hua nawapa ushauri wanaume wenzangu kuepuka makosa makubwa kwenye mapenzi ambayo yanaweza kuepelekea kujiua au kuua mtu iwapo utayafanya.

Katika mada yangu ya kwanza Mwanaume epuka haya makosa uishi maisha marefu - JamiiForums nilishauri wanaume kuepuka kua na mwanamke mmoja na ukampenda yeye peke yake na akajua umempemda, mbaya zaidi ukampa moyo wako na kuwekeza hisia zako zote kwake, siku akikuacha unaweza kujiua.

Nimesikitika kufaham kua kijana mmoja mtoto wa muhubiri mmoja wa mambo ya mungu hapa Tanzania kajiua(attempted suicide) kutokana na msongo wa mawazo baada ya kuacha na mwanamke ambae alimpenda kwa moyo wake wote na nguvu zake zote, nasikitika pia kufaham kwamba huyu kijana hakupata kusoma ushauri wangu wa awali asingefanya huo ujinga, hivyo ninapopata taarifa za kusikitisha namna hiyo nawiwa kuendelea kushauri wanaume wenzangu.

Ni kosa kubwa na kubwa sana mwanaume kua na mwanamke mmoja, hii ni sawa na kujichimbia kaburi mwenyewe, wanawake kwenye mapenzi sio watu wa kuwaamini 100%, ni watu wanaoongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia, hisia hubadilika kwa urahisi, hivyo mwanamke hubadilika kwa urahisi.

Epuka kua na mwanamke mmoja na ukampenda yeye peke yake, usichezee maisha yako kamali, usiweke maisha yako rehani, asili tu inaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume, unadhani wanazaliwa wengi kwa ajili ya maonyesho?

Jifunzeni toka kwa Ibrahim, alikua na wake wengi na Mungu akampenda, Yakobo alioa mtu na dada yake Mungu akampenda, Suleiman kila mtu anajua na mifano ipo mingi. Wengi waliokua wana wanawake wengi ndio walikua marafiki wa Mungu.

Ukweli ni kwamba wanaume tuko emmotionally weak kuliko wanawake, tuko so sensitive na stress kwa muda mrefu kuliko wanawake, hvyo msongo wa mawazo hutuathiri sana. Tuepuke makosa yanayoweza kupelekea tukaathirika kihisia na kupelekea kufanya mambo ya kijinga katika jamii, makosa moja wapo ni kua na mwanamke mmoja, siku akienda tofauti na matarajio yako unaweza kujiua. Haya ndio yaliyomtokea dogo.
Hivi alikunywa sumu au
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom