RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,385
- 139,185
Asikudanye mtu uzuri wa gari ni body hata likipita barabarani utavutiwa na body na si kingine gari hata iwe na sura nzuri lakini body limepondwapondwa hadi kupoteza shape hamna atakayelitaka gari ikiwa na body nzuri vitu vingine vodogovidogo unarekebisha tu. Hata engine ukiifanyia service vizuri utashangaaa inarudi upya.
Gari ikiwa na body nzuri unaweza kwenda nayo popote na ukajisikia una gari na hata wenzio watakwambia mzee umekuja na chombo cha uhakika.
Au hudhuria vikao vya familia vile vya mwisho wa mwaka waambie hii gari naijaribu nikiipendaa naichukua moja kwa moja hata wale dada zako waliokuwa wanaponda gari zako za zamani watakwamvia kaka hii gari usiiache. Kwangu mimi gari ni body sijui nyinyi ?