Mwanamke anaye gawagawa nazi ikunwe kunwe na kila shemeji, kimjini mjini, huwa anasumbuliwa na nini hasa?

Manton

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,164
1,520
Natumaini wote mnatekeleza majukumu yenu bila shida pamoja hofu za hapa na kule, kiuchumi na kijamii poleni kwa wenye kuistahili na hongera kwa wote wenye utulivu katika vitanda vyao wanavyolalia na wenzi wao wa viapo kufa na kuzikana, kwa wale wenye kuamini hivyo.

Nilikuwa na muda mrefu tangu nishuhudie mke wa mtu akitoa utamu wake nje ya makubaliano ya kiapo cha utii na uaminifu kwa mmewe hata hivyo wahenga walituusia ukiona vya mwenzio vyaliwa, chunga na vyako visiliwe, na ndiyo maana nataka kujua chanzo cha mwanamke\mke wa mtu, kujifunuafunua kwa kila shemeji yake ni nini haswa?
 
Natumaini wote mnatekeleza majukumu yenu bila shida pamoja hofu za hapa na kule, kiuchumi na kijamii. Poleni kwa wenye kuistahili na hongera kwa wote wenye utulivu katika vitanda vyao wanavyolalia na wenzi wao wa viapo kufa na kuzikana, kwa wale wenye kuamini hivyo. Nilikuwa na muda mrefu tangu nishuhudie mke wa mtu akitoa utamu wake nje ya makubaliano ya kiapo cha utii na uaminifu kwa mmewe. Hata hivyo wahenga walituusia ukiona vya mwenzio vyaliwa, chunga na vyako visiliwe, na ndiyo maana nataka kujua chanzo cha mwanamke\mke wa mtu, kujifunuafunua kwa kila shemeji yake nini haswa?
Video Tafwazari Tuone Anavyojifunuafunua
 
Unenifanya nicheke kweli,ati ukiona vya wenzio vinaliwa--------------wewe noma sana,lakini jioni njema mkuu
 
Natumaini wote mnatekeleza majukumu yenu bila shida pamoja hofu za hapa na kule, kiuchumi na kijamii. Poleni kwa wenye kuistahili na hongera kwa wote wenye utulivu katika vitanda vyao wanavyolalia na wenzi wao wa viapo kufa na kuzikana, kwa wale wenye kuamini hivyo. Nilikuwa na muda mrefu tangu nishuhudie mke wa mtu akitoa utamu wake nje ya makubaliano ya kiapo cha utii na uaminifu kwa mmewe. Hata hivyo wahenga walituusia ukiona vya mwenzio vyaliwa, chunga na vyako visiliwe, na ndiyo maana nataka kujua chanzo cha mwanamke\mke wa mtu, kujifunuafunua kwa kila shemeji yake nini haswa?
labda hana mbuzi ndio maana mashemeji wanamkunia nazi ...
 
Huwa kuna sababu nyingi sana zinazopelekea mwanamke/mke kuchepuka.

Yawezekana mwenza wake alimsaliti hivyo na yeye analipiza kisasi.

Yawezekana mwanamke hajawahi kukojozwa anaishia kusukia kwa shoga zake ni jinsi gani ilivyo raha ya ajabu kukojozwa hivyo kuamua kutafuta wakojozaji.

Yawezekana hajawahi kusalitiwa, pia hukojozwa ila ni tamaa tu ya kutaka kula kila aina ya bamia ya makabila yote ya Tanganyika.

Kwakweli sababu ni nyingi hivyo kujua ni ipi hilo tunawaachia wachepukaji.
 
Back
Top Bottom