Heshima kweni wakubwa zangu mabibi na mabwana.
Wanasema majuto ni mjukuu ila kwangu mimi nasema huo msemo ni applicable kama hukujipanga ujana wako.
Nataka wakubwa zetu watuambie situation...
Habari wadau!
Acha niongelee tabia ya wadada wa dar sijui niseme!! Kuna katabia kameingia naonaga sana kwa wasichana hasa maeneo kama kinondoni, magomeni, tandika na maeneo mengine ya uswahilini...
Wasalaam wana jf natumaini mko poa na weekend bila shaka imewaendea poa huko mlipo, nimekkuja mbele yenu naomba ushauri ambao utaweza kuniweka huru juu ya huyu mpenzi wangu tuliodumu takribani...
Habari za jioni wanawake baadhi yenu mna tabia ya kununa nuna mpaka inaleta chuki sana tena sana mpaka kero wanawake mnatutesa sana wanaume mpaka haki yetu muhimu mnatunyima acheni kununa bora...
Haya mapenzi naogopa sana bwana mimi, Kuamua
wakati mwingine nakosa hata raha jamaniiiii
Nani nimpende, asinizingue
Nani nimpende, asinizingue
Hivi ni nani mrembo atakayenipenda kwa dhati
Na siyo...
Wandugu nimekuja hapa mnipe ushauri kidogo
Nilikuwaga na demu wangu she is so cute kwa kweli ila tatizo lake alikuwa ananipiga mizinga sana
Huyu demu nilikutana nae kipindi fulani alikuwa boy...
Wanajamvi.
Ni mshutuko lakini ni kweli, kuna kundi la wakina dada na wakina mama hasa wanaomiliki solon za kike, wamekuwa wanajipeleka sana kwa wanaume hasa vijana wadogo ambao hawajaoa.
Kwa...
Wakuu,
Tumeishi na huyu binti kwa miaka miwili, sasa wiki ijayo anatarajia kurudi kwao kuanza kujiandaa na kilimo lakini pia amesema hatarudi anaenda kujaribu maisha mengine.
Beki tatu huyu...
Mimi naamini wadada wa siku hizi 85% wanajiuza ila kuna tofauti ya kujiuza kuna yule anayejiuza kwa wanaume Tofauti Tofauti na kuna yule anayejiuza kwa mwanaume mmoja.
Maoni yenu wa Wadau
Nimekua nikiona talaka zikitolewa hovyo hovyo kwa sababu mbalimbali mimi nataka niwaambie kama ulitoa talaka au wewe mwanamke kudai talaka bila hizi sababu tatu basi ndugu yangu unazini, talaka...
Kwa bahati mbaya sana sijaona kifungu kinachozungumzia pale mwanaume atakapomsaliti mke wake japo najua uzinzi (kufanya mapenzi nje ya ndoa) umekatazwa.
Iwapo mwanamke atamsaliti mumewe basi...
Habari wanajamvi, ninataka kusafiri nje ya nchi kwa muda wa miaka mitatu, katika tafakari zangu nimekuwa nikiwaza ni mkoa gani naweza nikamwacha mke wangu kwa muda wote huo? NImekumbuka ni Dar es...
Sisi ni brothers so katika ishu ya kusiaidiana ni muhimu sana haswa maswala yatuhusuyo sisi wanaume.
Waingereza wanasema "Invest what you wish to loose"
Kwa kiswahili ni wekeza kitu ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.