Mke anahitajika haraka sana kabla ya December, alie tayari aje Dm

bovason

JF-Expert Member
May 31, 2016
562
348
Sifa ya kwanza awe muajiliwa au kajiajiri
Sifa ya pili awe tayari na miaka kuanzia 25 mpaka 35,
Asiwe na zaidi ya mtoto moja
Sichagui dini wala kabila
Awe mzuri wa wastani na mnene kiasi na wowo kidogo
Mambo mengine tutaongea tukishafahamiana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom