Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,307
- 40,942
Acha kutudanganya na wewe.Hata ukisoma ukamaliza bado hautaweza kutuelewa.
Mbao za mawe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niwache kaka yanguAcha kutudanganya na wewe.
Mbao za mawe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niwache kaka yangu
[emoji23][emoji23]Dar hii hii niijuayo mimi au?Nakuacha, nasikia kuna kutaniko la Member wa JF huko Dar vipi maandalizi hapo Hyatt Regency?
Gazeti la kifala sana lileGazeti la Tanzanite tu nashindwa kusoma ije kuwa hizo notice!
[emoji23][emoji23]Dar hii hii niijuayo mimi au?
Kwani utakuwepo?Naam!
Sijajua maana wanaume wa mikoani hatufanyi mambo kwa kukurupuka.Kwani utakuwepo?
Kweli, ila juzi ulisema upo daslam [emoji19][emoji19]Sijajua maana wanaume wa mikoani hatufanyi mambo kwa kukurupuka.
Kweli, ila juzi ulisema upo daslam [emoji19][emoji19]
Kwa hiyo ilikuwa unanichora? [emoji57][emoji57][emoji57][emoji15][emoji15] Mimi? Mara ya mwisho kwenda Dar ilikuwa October 18 2015.