Pengo la Unyago sasa lipo wazi

Pengo la Unyago sasa lipo wazi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,332
Reaction score
10,913
Mpo poa!

Zamani wazee walitoa elimu kwa vijana na mabinti wadogo pindi wanapopevuka. Elimu hii ilisaidia sana vijana kwenye maisha halisi ya kujitambua na namna ya kutumia rasilimali zilizopo mwilini mwao.

Unyago kwa tafsiri fupi ni elimu apewayo kijana pindi anapopevuka. Kijana alifunishwa mambo mbali mbali kama ujasiri, nidhamu, uvumilivu, na kutumia rasilimali.
Kulingana na jukwaa nitajikita zaidi kwenye ishu ya mahusiano hasa ya kimapenzi baina ya kijana na binti.

Kijana alifundishwi namna ya kutumia viungo vyake ili amridhishe mpenzi wake. Alifundishwa pia kutumia viungo vya mwanamke na kumpumbaza mpaka mwanamke akojoe bila shida yoyote. Hakukuwa na ishu ya vibamia wala mahogo. Ishu ilikuwa ni ujuzi tuu.

Mwanaume alijifunza mbinu za kumkuna mwanamke mpaka mwanamke ajisikie yupo peponi. Na kweli matunda yalionekana. Hata sasa jamii zenye Jando na Unyago wanaume wanafanya vizuri tofauti na zile jamii zisizofanya mambo hayo.

Embu angalia sasa vijana wanavyohangaika. Wamegeuka mateja kwa kutumia Puturu/vumbi la kongo, wengine wanatumia Viagra na dawa zingine ili mradi waonekane vidume. Kama hiyo haitoshi vijana wengine imefikia hatua hata Bata anawashinda kwa kukaa muda mrefu kwani wao hata dakika 2 huwa tabu.

Ushauri wangu, Vijana turudie Unyago. Huko ndiko kwenye madini yanayolingana na maisha ya jamii zetu.

Nawasilisha
 
Mkuu kidogo naona una ufahamu mdogo katika mambo haya..

Unyago ni Kufundwa kwa Vijana wa kike pekee.. Kwa Vijana wa Kiume tunaita Jando!


Okye Mkuu, nimechanganya tuu
 
Hii kitu imechangia kwa kiasi kikubwa ndoa na mimba za utotoni

Watoto wengi wanaopitia jando na unyago hata shule kwao huwa na maendeleo hafifu na baadhi yao huacha ata shule

Haiwezekani mtoto afundishwe mambo ya wakubwa live, hizi ni mila zinazochochea vitendo vya ngono kwa watoto

Ushauri: jando na unyago ifanywe kwa watu wazima wanaoelekea kuoa na kuolewa
 
Hii kitu imechangia kwa kiasi kikubwa ndoa na mimba za utotoni

Watoto wengi wanaopitia jando na unyago hata shule kwao huwa na maendeleo hafifu na baadhi yao huacha ata shule

Haiwezekani mtoto afundishwe mambo ya wakubwa live, hizi ni mila zinazochochea vitendo vya ngono kwa watoto

Ushauri: jando na unyago ifanywe kwa watu wazima wanaoelekea kuoa na kuolewa


Umeongea hoja mkuu.
 
Hatuwezi kufuata mambo ya kizamani wakati tuko kwenye usasa ,unavyoonekana kuna siku utakuja sema bora tuwe tunatumia usafiri wa punda kuliko usafiri wa gari
 
Back
Top Bottom