mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Habari wana MMU mi niko sawa kiafya.
Ni mara nyingi sana mke wangu amenifuma na SMS kutoka kwa wanawake tofauti ingawaje sio wote ni michepuko yangu ila wamo wengine walikua michepuko wangu na wengine nilikua nishapiga chini ila huwa sina ka2lwaida ya kuondoa ushahidi katika simu.
Sasa leo niko na wife katika bad mara simu yake ikaita mimi sina kawaida ya kufuatilia simu yake ila ya kwangu hua anapeleleza anaona kama mimi nilipokatwa govi sijaumi hawa wanawake hawa mmmmmhhh waone tuuu basi baada ya kupokea simu yake maongezi yake na upande wa pili yalikua hivi:-
Wife: hello
Jamaa : hello mambo
Wife: poa eeeeehe unasemaje
Jamaa : heeee mbona umekua mkalii
Wife : si nilikwishakuambia usinipigie simu
Jamaaa: kwani....................... (sikuisikia vizuri sauti yake )
Wife: eheeee ndio
Jamaaa : unajua ............(wife kakata simu)
Hali hiii imeniuma sana na sikuumuuliza wife alikua akiongea na nani? Na kulikua na nini sikumuuliza maaana hata mimi sipendi aniulize sikutaka aone kama nimemfuatilia simu yake ili nami niwe huru.
Ila ukweli roho inaniuma kuona kua dume mwenzangu linatia mistari kwa wife na wivu umepanda hadi utisini ndio nami nimeona kua nami akisikia mawasiliano ama akishuku nachepuka kama anaumia na kua na mawazo kama haya duuuuu simtendei haki.
Jamaniii eeee wakubwa wenzangu nishaurini nini nitende?