J putin
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,263
- 1,209
Habari wakuu,
Mwanzo nilitoa uzi kuhusu kuachana na mchumba siku 14 kabla ya harusi.
Nashukuru nimerudisha michango kwa asilimia 40 kwa marafiki,na asilimia 60 kwa ndugu zangu baada ya wao pia kunielewa na kuniambia hizo ela nikabidhi mzee .Na kweli nimefanya hivyo.
Asanteni kwa ushauri na mimi pia kujiridhisha na maamuzi yangu.