Shetani wa huyu jamaa ni kiboko sana hadi shetani wangu haoni ndani

General Galadudu

JF-Expert Member
Nov 7, 2015
1,868
2,200
Katika kipindi hiki cha kwaresima ndg zangu nilipanga nisipost kitu chchte hapa jamvini kwetu lakini kwa kilichotokea jana nimeona nikilete tu.....

Jana mida ya saa 7 au 8 hivi za ucku tukasikia purukushani nyumba ya jirani yetu, zilikuwa ni kukuru kakara sio mchezo unaambiwa mwanamke alikuwa anapiga kelele kama vle anachinjwa labda, na kelele zake ni kwamba aliyekuwa anapambana nae yeye alikuwa yupo kimya tu na nadhani alikuwa kwny harakati za kujinasua......moyoni nikawaza au kuna majambazi mengine ambayo yamezidiwa nguvu na huyu mama anataka kuyanyang'anya bunduki?

Nikavaa fasta nikatoka nje kwa tahadhari kubwa huku nikiwa na ka manati kangu ka kizungu magazine ikiwa full loaded (huwa nina usongo sana wa kukatumia maana tangu nipate kibali cha kukamiliki cjawahi hata kumkwanyua mtu goti au bega) ......mi huwa ni mwepec sana wa kutoka kwny matukio ya namna hiyo kwa sababu mbili kubwa.....1~ kutoa msaada wa haraka kama itahijika ivo.......2~ hii ndio sababu ILIYOTUKUKA, kuangalia vinguo ambavyo watu huwa wanakurupuka navyo ucngizini hususani hawa wenzetu wanaong'ang'ania usawa wa 50/50 (tena kama ndio walikuwa wamemaliza kucheza achimenengule na mme wake ndo raha zaidi maana huwa ni khanga na taqo tu).......kumkuta ni mama mmoja jirani yetu kamkwida mume wake huku anamsukumia magumi mazito mazito kama bondia wa uzito wa juu duniani na jamaa nae anakukuruka kujitahidi anasuke, hapo kila mtu akawa anadhani kuwa labda kamfumania na mwanamke maana alikuwa analalamika:- huwezi kunifanyia mimi ujinga huu kwani umetaka nini kwangu nikakunyima, nakupa mapenzi yote na kwa staili zote unazotaka lakini umeona haitoshi hadi ufanye hivi kweli......maneno yote hayo yalikuwa yanaambatana na ngumi nzito nzito.

Sasa kitu cha kushangaza jamaa suruali yake ilikuwa imevuka kabisaaa, na kumchunguza vzr kwny dushe alikuwa amevaa condom!! kwa kuwa wenye busara tulikuwepo tukaamua ule ugomvi na kuwaingiza ndani ili tupate kuckia kwa kina chanzo cha lile vundevunde......mwanamke akaanza kufunguka:- huyu baradhuli alikuwa kaanzisha tabia ya kuchelewa kuingia kulala hata kama mi nimetangulia atabaki sebuleni anabonyeza bonyeza simu weeeee halafu baadae anatoka nje kwa kunyata, huko atakaa hata kwa nusu saa ndipo anarudi kulala.

Sasa leo alipotoka akasahau simu yake sebuleni, na mi nikaichukua kuichunguza.....si ndio nikakuta kumbe alikuwa anaangalia video za wanyama wanafanya mapenzi, nikasema moyoni liwalo na liwe lakini lazima nijue kinagaubaga anachofanyaga huko nje, nikanyata hadi nje huku natega sikio kujaribu kunasa sauti ya mchakato wowote.....si ndio nikackia kutokea bafuni, nikanyata hadi kwenye mlango wa bafu.....nikauvuta kwa ghafla......nikalikuta linamt*mba mbwa wa jirani yetu shetani hili (hapo akamtandika na kibao kitakatifu hadi mi nikafurahi)

Wakati mama anamalizia kutoa maelezo yake mara hiyo na mwny mbwa nae akafika akiwa na yule mbwa wake tena jamaa nae alikuwa kachachamaa kishenzi......tukaona hapa hakuna namna inabidi ile kesi iende kwa mjumbe nae atawaamulia cha kufanya, tukiwa njiani kwenda huko yule mbwa akawa anajisogeza kwa jamaa kimahaba huku anamtingishia mkia mara amgeuzie papuchi (nadhani walikuwa wameshazowea)

Alichoamua mjumbe ni kwamba ile kesi iende polisi nao wataifikisha mahakamani........sasa nawauliza jamani mnaosemaga eti shetani anaenipitiaga mimi ni kiboko sana hivi atamfikia kweli shetani wa huyu jamaa jirani yangu Mme wa mbwa!!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom