gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,909
- 3,026
Wakuu natumai nyote mko wazima kabsa...
Kwenye mada moja kwa moja
Me kwakweli elimu hii ya unajimu sio kiivo ila naijuamo
Kuna watu wengi mnapitia struggles mbalimbali kwenye mahusiano mbalimbali lkn hujawahi tulia na mtu wa maana au mtu sahihi ili mulisongeshe gurudumu LA mapenzi
Sasa utakuta unampenda sana mtu lakini kutwa migogoro haiishi mala gubu ilimladi tafrani tupu
Katika mapenzi inabidi udate na mtu ambae nyota zenu zinaendana kwamfano Mimi nyota yangu ni ng'ombe(Taurus) Mimi kutokana na nyota yangu hiyo kuna watu nikiwa nao kwenye mahusiano yanakwenda smooth kabisa hasa Taurus wwnzangu,Capricorn, na Virgo izo ndo nyota ambazo nikiwa na mwanaume wa kundi hilo aaaah sitalia ata sikumoja
Ila niliwahi kudate na Gemini aiseee ni watu walio wahi niumiza hakuna mfano nakaa nao mbali kabsa ....
Kwaio dear ladies and gentleman niwashauri kama unataka kuingia kwenye mahusiano yoyote Yale angalia mtu unae date nae je nyota zenu zinaendana ??? Ndomana watu hamuishi kulizwa adi kukata tamaa kumbe mnaforce lkn nyota zenu haziendani ...
Ebu nikupe zoezi dogo tu muulize mwenzi wako tarehe na mwezi alio zaliwa zen check zodiac sign yake na yako kama vinaendana na kama haviendani basi hujachelewa chukua uamuzi fasta ....
Si mnajua mapenzi venye yana nguvu binafsi namshukuru Mungu mwanaume nilie nae ni Taurus (ng'ombe) mwwnzangu so issa perfect match.....
Goodluck pal...