Wadau WAZOEFu huyu demu tulikuwa nae miaka ya 2012 nikaachana nae baada ya kunibania papuch .
Nikaamua kuachana nae kabisa mpaka namba zake nikafuta kisha nikabadili line hivyo sikuwa NA...
Amani iwe kwenu nyote Wanajopo wa jf mlio ndani ya ndoa na wale ambao katika sehemu ya maisha yao walipata wasaa wa kufunga ndoa na kuishi kwenye ndoa kabla ya kuachana, tunaomba mtumegee siri ya...
Miaka ya zamani na hata sasa,kuna familia ama koo ama jamii ambazo bado zinaendeleza utaratibu huo wa shuka analolalia bibi harusi mara baada ya harusi kufungwa ili kujua kama ni BIKRA, ina maana...
Wakati jana nikiwa nimelala mida ya saa 7 simu yangu ikaita ile kucheki ni namba ngeni nikaamua kukausha.Ikaita kwa mara nyingine nikaamua nipokee aisee nilikutana na sauti tamu ya mtoto mzuri...
Huwa najiuliza sana kuusu ili lakini bado nabaki njia panda sipati majibu.
Hivi wanawake ususani wasichana wa siku hizi kwa nini mnapokutana na mwanaume mkatongozana na kuafikiana kuwa wapenzi...
Jaman umr ukifka umefika natafta bint awe na umr kuanzia miaka 19-23 awe mcha mungu na awe na sifa zote za mwanamke anafaa kutuza family yake anicheck kwa no 0628239703 napatikana SIMIYU itapendeza
Natanguliza salamu wana jf wenzangu
Mimi ni radio presenter wa radio kubwa kwa huku kwetu na nimekua famous kwa sababu hii kazi kua maarufu ni kawaida..
kupitia hili nimekua nikila videmu na mara...
Hawa jamaa Nasikia Wanajiandaa kwenda Kumshtaki Makonda pale Ofisi za Umoja Wa Ulaya - Posta.
Hakika wanatudhalilisha wanaume wenzao wapewe khadhabu gani hawa watu....?.
Leo tunageuza shilingi upande wa pili kuelezea madhara ya kuruka ukuta (kufanya ngono kinyume cha maumbile a.k.a kua Amber Rutty ).
Wanaume wengi walinilaumu na kuniona sitendi haki kwa...
Heshima kwenu wakubwa na wadogo
Kwenye mahusiano kuna changamoto nyingi tunakutana nazo ambazo zingine zinavumilika lakini zingine hazivumiliki kutegemeana na ukubwa wa tatizo.
Wewe dada au kaka...
Habari za leo wanaJamiiForums?
Mama Mkwe wangu anaomba nimkopeshe laki tano kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yake. Samahani sana mwenye ujuzi wa kudai ukweni anipe njinsi ya kudai ukweni kabla...
Wakuu,
Napenda kuwakumbusha wale mnaojifanya wataalamu wa kuzibua mitaro, endapo ukashtakiwa na kukutwa na hatia basi adhabu yake ni miaka 30 au kifungo cha maisha.
Kama utazibua mtaro kwa hiari...
Nina kisa cha dada mmoja mwanafunzi wa Masters Dodoma, alikuwa bar mara akafika mshkaji raia wa Nigeria akamsalimia ile kusalimiwa dada akajibu kwa bonge la tabasamu kuonyesha amevutiwa na salamu...
Kipindi cha nyuma kidogo nilienda mkoa mmoja hivi kikazi. Huko kazini nilikutana na mzee mmoja ambaye nae alitoka mkoa mwingine kuja kufanya kazi huko.
Mzee alikuwa anakaa guest ikabidi na mimi...
Habari za Muda huu !
Nimekuwa nikifikiria sana Kuhusiana na Haya Mahusiano Kwa Sisi Vijana ambao hivi karibuni tunatarajia kuingia katika Ndoa Hivi karibuni
Sasa tatizo linakuja Kwa hawa...
Zipo sababu nyingi zinazosababisha watu ku-cheat.
Binafsi sababu hii ndo ilinisababishia ... alikuwa kila muda ananiambia kauli hii hadi ikazoeleka na mwisho nikaifanyia kazi
"Kama unataka kuoa...
Habari za mchana ndg zangu!
Jana nimetoa ushauri hapa juu ya dada zangu kuhusu kuwa presentable mbele za wanaume na kuwa na tabia njema katika jamii ili uweze kupata mwenza mwema. Leo nimeona ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.