NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 310
Kwa kawaida huku mtaani tumezoea unaambiwa mwanamke msomi au mwente hela hafai kuoa ofcoz shida kubwa hapa ni swala la inferiority na superiority. Lakini angalau basi mwanaume uwe hapo na kimoja kama siyo hela ni shule. Sasa nina kaka yangu kaachana na mke wake mwenye watoto nae wawili na sasa hivi anaishi na mdada ambae nae kaachana na mume wake ana watoto wawili. They are all at the age of 40'ss the issue here the woman is well of and educated and the husband to be is broke and an educated, would there be a break through here???