M Mr Zawadi Ngailo Member Mar 2, 2013 25 19 Nov 3, 2018 #1 Mwanamke mwili wako wa thamani utunze usiruhusu kila mwanaume auchezee Itakugharimu
Papushikashi JF-Expert Member Feb 28, 2016 10,705 12,784 Nov 3, 2018 #3 Na sika computer ni ya kupokea kila flash... Nyingine zina virus sugu
lossoJR JF-Expert Member Oct 11, 2012 2,711 2,382 Nov 3, 2018 #5 Hata mchezaji mwenye maskills na uzoefu wa kutosha hufikiriwa kuinusa world cup. So waache waliwe kupata uzoefu pengine Neema yaweza karibia NOTE: play safe.
Hata mchezaji mwenye maskills na uzoefu wa kutosha hufikiriwa kuinusa world cup. So waache waliwe kupata uzoefu pengine Neema yaweza karibia NOTE: play safe.
Me too JF-Expert Member Feb 9, 2015 7,325 9,182 Nov 3, 2018 #6 umepigwa huko unatuletea majeraha huku.