Nyota inayotawala mapenzi yangu imechafuka.
Nyumbani waifu kanichunia, na kitumbua hajanipa wiki ya tatu now.
Nyumba ndogo na kwenyewe nimepigwa chini, yaani demu hataki hata kuiona nikimpigia...
X na Y walikuwa marafiki, marafiki kwelikweli. Mke wa X akapata ujauzito, mtoto akazaliwa anafanana na Y, ghafla urafiki wa X na Y ukafa.
Nikamfata kumwuliza, vipi kulikoni? Akaniambia kwa...
Habarini za week end, samahanini kidogo naomba wale wa juvi wa mambo amabo wametutangulia kwenye maswala haya au wamezunguka sana kujua tabia na mila na desturi za makabila haya.
Hapa...
Mimi ni Askali nilioiva huwa sitikisiki hata kwa upepo wa aina gani, Waliojaribu kunitingisa walitingisika wenyewe... baada ya saa 10 j3 hakuna Mfanyabiashara yeyote wa korosho atakayeruhusiwa...
Nilitaka kuweka kichwa cha habari kinachosema... Ushauri wangu kwa celebrities wetu.... Wakiwemo Wasanii..
Nimesoma kilio cha Dina ze bausi ledi... Diva the boss lady! Ama Diva boss mdada...
Japo vyuma vimetaiti Wanaume wa dar wananukia unyunyu mtamu hatare..yaani mwanamke ukiwa dhaifu unaweza ukavua kwenye corridor.
Mnatutega kweli mabikra wa dar tusiojua wanaume.
Yaani mnanukia...
Habar wana jf
Leo nipo maeneo ya kanda ya ziwa huku kijiji kimoja kinaitwa KAKURU kipo ndani ya kisiwa cha UKEREWE ni Mbali kwa kweli sio mchezo ukitoka Dar mpaka huku nauli si chini ya Laki...
Haloooo wana Jf
Wajua bana mapenzi ni very complicated
Ndani ya siku 2 hizi nimekuwa namsoma Joyce kiria
Nimemwelewa na nikiri tu amefanya vyema kuspeak it out
Itamsaidia kupona na kumove on...
Usivunje uhusiano na mtu sababu tu umegundua kuwa sio rafiki.
Kwenye maisha hatuhitaji marafiki tu. Tunahitaji watu wote.
Kila mtu atakufaa kwa namna tofauti. Hata wale wasio marafiki, kuna...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 47,najitokeza hapa kutafuta mke ambae atakuwa ametosheka na NGONO na ambae haitaji tena WATOTO,yule Mwanamke ambae ameguswa na mwenye nia ya dhati,naomba PM...
Ni safari ndefu yenye gharama nyingi za muda na pesa...lakini mafanikio ni madogo kulinganisha na hasara zake...
Sijui lengo lake hasa ni lipi mfumo huu...
Maana vijana wanaanza kuharibikia...
Mapenzi yana raha pia mapenzi yanatesa sana sana.
Tena unaweza umwa na dawa hakuna hasa kwa mtu uliyeplan naye vitu vingi na pengine kumtambulisha kwa jamaa na marafiki.
Yumkini sasa hivi upo na...
[emoji41]Ushauri kwa wanaume wa dar pindi mnapo kuja mikoani zingatieni yafutayo
1)msitembee usiku mwisho saa 12:30 jioni .mda unao fata tuachieni sisi
2)jitaidini kuongea kiume hasa mnapo kua...
Habari wakuu,
Hii tabia ya wanawake kuomba omba ela imekuwa kama fasheni kwa jinsia ya kike.
Kwa sasa hakuna mwanaume anayependa au kuja kuoa mwanamke ambaye hana mbele wala nyuma ( goli...
Habarini za muda wapendwa?
Kama Mungu alivyosema "si vyema mtu huyu akawa peke yake bali nitamfanyia msaidizi"
Natafuta mume mwenye hitaji la msaidizi (mke).
wasifu wangu:
umri: miaka 25
dini...
Habari wakubwa,
Hivi kati ya mwanaume na mwanamke yupi anauwezo wa kukaa siku nyingi bila kufanya mapenzi (ngono)
Mimi ni mwanaume nishawai kukaa miezi kadhaa lakini sijawai fikisha mwaka, sasa...
Ndugu zangu. Kwanza Mungu awabariki. Kuna ndugu yangu ameanza mahusiano na binti mwanasheria miezi kadhaa iliyopita. Kuna tetesi kwamba hawa viumbe huwa ni wakorofi na huwa hawataki kushindwa...
Atakayesema Muungano uvunjwe huyo nadhani si mtu mwema. Hafai kabisa.hivi nashauri hata tukiweza ungana na Rwanda itakuwa jambo jema. Mwenzenu nafaidi matunda ya Muungano. Tena sasa nafaidi sana...
➿➿➿➿➿➿➿➿➿➿
🍇KWENU WADADA🍇
🍇Sijui nani kawaroga?
🍇kwann baadhi yenu mnakua na dharau na kiburi kwa waume zenu?
Ni kweli hamjui thamani ya ndoa au dharau tu?
🍇Mumeo ametoka anaenda kibaruani...