Leo nimeamka na hii kitu nimejaribu kuchambua sana hawa wanawake ambao nimebahatika kukutana nao kiukweli ktk mazingira tofauti tofauti sana.... Ikiwa ni kwa nchi ambazo tunapakana nazo na...
Naombeni ushauri namshukuru mungu mwanangu anatembea siku hizi,changamoto ni kwamba akitembea haangalii mbele anadondoka ovyo,anajigonga hovyo ana makovu kila mahali. Nifanyeje ?maana kumbeba muda...
1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na mwenzi wako.
2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako.
3. Ubishi usiokuwa na maana.
4. Kupenda kujihesabia haki.
5. Kutokubali makosa.
6. Kutokuwa na roho ya...
Najua ndo kwaaanzaa Jumatatu tena bado asubuhi ila Mahaba kwa Kasie hayajawahi kupoa.
Ukisikia kikohozi ndani yake kina Mahaba basi hili ni Kohozi acha nikohoe kwanguvu......
KOOH KOOH KOOOH ...
Kwa taarifa tu ni kwamba ukiona leo hii unamtongoza Binti / Mwanamke halafu anakuambia kuwa mpe siku tatu akufikirie usidhani kwamba labda anakufikiria kweli bali wengi wao huwa ama wanaenda kwa...
Msikilize mama mlezi.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji12] [emoji12]
Binti alifika kwa mama yake kumlalamikia kuhusu ndoa yake. Malalamiko yake yalikuwa kama ifuatavyo:
BINTI: Mama, mume...
Habari MMU.
Mimi ni kijana wa makamo.
Kawaida yangu hufanya shughuli zangu zote on time! na niko accurate na kazi zangu.
Huwa siwezi kudanganya au kutoa fake promise kwani nafsi yangu hunisuta na...
Katika umri huu nimekwisha kuwa na wasichana na wamama kadhaa....
Nimejifunza haya toka kwa hawa viumbe
1-Wale wa miaka 0-30 almost 80% ni wasumbufu sana hawajui wanataka nini
2-Wanawake ni watu...
Nyinyi wanawake/wasichana mnaotembea na waume za watu wenye kipato cha chini hata wanashindwa kuwa hudumia wake zao ipasavyo mna akili gani au mnafikilia nini?
Kuna mwanamke/msichana anatembea na...
Naishi na mwenza na tuna mtoto wa kike miaka miwili. Mimi ni muajiriwa na mwenza wangu bado tunahangaika kuangalia namna atajishughulisha.
Huyu mwenza amekuwa na tabia ya kufuatilia series...
Hiki kisa kilinitokea..Kiukuwel hakuna kitu kinauma kama kuchapiwa yani inaumwa kuliko hata maumivu ya kubanwa na mlango,,kuna msichana nilikua namuelewa sana.katka mahusiano yetu alikuwepo rafiki...
Hili Ni tukio la kweli kabisa limenitokea Nilipata demu anaitwa enjo mitaa ya kariakoo nikamtongoza akakubali, nilifanya naye mapenzi Mara moja tu, tukawa tunaendelea vizuri na mahusiano...
" Mimi ni kijana wa miaka 32 nimeajiriwa namshukuru Mungu kipato changu kipo vizuri sina matatizo toka miaka miwili iliyopita nilimpata dada mmoja ambaye niliridhia awe mke wangu mtarajiwa.alikuwa...
Hamjambo wote? nashukuru roho yangu imetulia sasa baada ya kuwa na presha ya kutoliona gari langu kwa siku mbili, leo huyu mrembo amerudisha chombo japo kimeharibika kidogo lakini hiyo hainipi...
Ndio baadhi ya marafiki zetu ni wanafiki. Wengi hawana ujasiri wa kuwa wawazi kwa wenzao badala yakewanakuchimba pembeni.
Wanatuficha ukweli. Wengi sio sincere wala honest. Majibu yao mengi yapo...
1. Kuchelewa kuoa/kuolewa ni kujichelewesha kuwa na nidhamu ya maisha.
2. ni kuchelewesha kujenga misingi bora ya familia,
3. ni kulicheleweshea taifa letu maendeleo.
Nawasihi muoe na kuolewa...
Naomba kudeclare kabisa siko hapa kupinga matumizi ya Condom kwa namna yeyote ile ila;
Toka nimeingia kwenye ndoa takribani miaka saba iliyopita nimezoea kula kavu kavu bila shaka wakubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.