Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,230
- 1,199
Habarini za week end, samahanini kidogo naomba wale wa juvi wa mambo amabo wametutangulia kwenye maswala haya au wamezunguka sana kujua tabia na mila na desturi za makabila haya.
Hapa nazungumzia kuoa mgogo je ni tabia gani hasa wanawake wakigogo ambao wanazo zitaniletea shida mbeleni, au nikioa mkwere ni tabia gani walizo nazo maana nimeambiwa nikioa mkwere nijianda kwenda kumfata wife ngomani kila siku kwenye vigodoro. Ushauri jamani, asangen