Tunakubali utendaji kazi wako Rais wetu wa wanyinge JPM

RASCO BOY

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
428
485
Mimi ni Askali nilioiva huwa sitikisiki hata kwa upepo wa aina gani, Waliojaribu kunitingisa walitingisika wenyewe... baada ya saa 10 j3 hakuna Mfanyabiashara yeyote wa korosho atakayeruhusiwa hata kununua Kg 50, korosho zote tutazinunua kwa zaidi ya Tsh 3,000, uwezo tunao wanajeshi wa kusomba wapo JPM
FB_IMG_1541873278185.jpg
 
Nadiriki kusema Magufuli ndio raisi Bora kabisa kuwahi kutokea Africa mashariki..natamani awamu ya kwanza angekuwa Magufuli ndio Rais halafu awamu hii ya tano ndio ashike nyerere.sio lazima kunielewa
 
Kuna mambo akifanya nampa support asilimia zote...mojawapo ni hili la korosho
 
Back
Top Bottom