Nilichojifunza huku kanda Ziwa

Nilichojifunza huku kanda Ziwa

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Habar wana jf

Leo nipo maeneo ya kanda ya ziwa huku kijiji kimoja kinaitwa KAKURU kipo ndani ya kisiwa cha UKEREWE ni Mbali kwa kweli sio mchezo ukitoka Dar mpaka huku nauli si chini ya Laki moja 100,000 kwa hyo kwenda na kurudi nauli ni 200,000 bado mahitaji mengine.

Wakazi wa huku wengi ni wakerewe na Wajita watu wa Musoma ila kuna mchanganyiko wa makabila mengi ila makabila maarufu ni wakerewe na Wajita.
Mazuri ya huku.
Maisha ya huku yapo chini sana ukilinganisha na sehemu nyingine
Chakula kikuu huku ni samaki na Ugali Dona mgumuu pamoja na Wali,na Ndizi,
Wakazi wa huku ni wakarimu sana sio Wanafiki ni wakarimu sana kwa wageni.

Wanawake wa huku wana adabu saana na ni wachapakazi kweli kwelii yaani kama unataka mke mwenye tabia nzuri na mnyenyekevu,na mchapakazi njoo huku.
Mtandao wa Vodacomu ndo umetapakaa huku pampja na Airtell ila Tigo na Halotel vocha zake utazipata kwa tabu mnoo.
Pia huku kuna Fursa nyingi sna na hela ipo nje nje ukipata sehemu ukitulia tuu ukajua unachokitaka hakika utafanikiwa vijana wadogo wa huku wana nyumba unakuta kija na miaka 23 ana nyumba nzuri kabisa na familia.

Mabaya ya huku.
ushirikina huku ndo nyumbani kwao kuna ushirikina sana,na waganga wa kienyeji wapo wengi sana wafanyabishara wa Mwanza wanakujaga huku kuwekewe Mazindiko kwenye Biashara zao.
Watu wengi wa huku hawana Elimu hawathamini shule kabisaa
Wasichana wa huku hwajui kukataa yaani ni Wepesi sana.
Vijana wadogo wanaoa huku kijana ana miaka 20 ana mke na mtoto

Kilichonishangaza huku.
Kutokana na kukithiri kwa Imani za kishirikina watu wa huku wanajenga nyumba wanaweka milango na madirisha kabla ya kuweka Paaa tofauti na tulivozoea yaan mtu anaweka madirisha ya grill na Milango kwanza alafu paa linakuja baadae hii ni kutona na kuzua imani na kishirikina ,na mambo machafu machafuu..

KARIBU KAKURU...
 
Mkuu asante ila angalia sana unapopanda fery za huko ukae karibu na maboya maana kama ushirikina ndo umetawala basi lolote laweza kutokea safarini!
 
Mkuu umefika leo leo na umeshatongaza mademu kibao kiasi cha kusema mademu wa huku huwa hawakatai mtu.
 
nadhan hii ya kuweka magrili na milango mapema kabla ya kuweka paa ni kawaida ya watu wa kanda ya ziwa coz ata uku niliko wanaweka milango na madirisha kabla ya paaa! but cjui kwanini wanaweka ivo kwanza
 
Ukiona sehemu Fulani uchawi umekithiri jua wenyeji wa hapo wanatabia hizi
Wivu
Uvivu
Unafiki
 
Back
Top Bottom