AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,537
- 4,517
Ni safari ndefu yenye gharama nyingi za muda na pesa...lakini mafanikio ni madogo kulinganisha na hasara zake...
Sijui lengo lake hasa ni lipi mfumo huu...
Maana vijana wanaanza kuharibikia wakiingia form 1...form 3 ni kuchochea tu uharibifu...hasa mabint mpaka anafika chuo...hata awe mchaMungu vipi...chuoni ni taasisi inayoharibu mabint wetu sana...
Waliotutungia mfumo huu...usikute wenyewe walisoma mpaka darasa la 4 primary...alaf mpk form 4 alafu sijui 6 then chuo...ndo wakatuletea utumbo huu...
Huu mfumo huu...hebu nieleze experience yako...