Weka marafiki zako mbali na mkeo

Weka marafiki zako mbali na mkeo

raiswenu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2018
Posts
1,030
Reaction score
1,789
X na Y walikuwa marafiki, marafiki kwelikweli. Mke wa X akapata ujauzito, mtoto akazaliwa anafanana na Y, ghafla urafiki wa X na Y ukafa.

Nikamfata kumwuliza, vipi kulikoni? Akaniambia kwa kifupi, "weka marafiki zako mbali na mkeo".

Ningekuwa siwezi kuangalia picha nisingemwelewa kabisa, na mimi nasisitiza "weka marafiki zako mbali na mkeo"

Nawasilisha
 
Mkuu vp kuhusu majirani? maana hawa ndio wako karibu zaidi na wake zetu kuliko hata hao marafiki.
 
Mlio ktk ndoa mna kazi sana niwakumbushe tu chama langu la ubachela sisi tuendelee na msimamo wetu kama vyote tunapata kama nyinyi shida ya nn
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote (in rose mhando voice), mkuu utakuwa bachelor milele?
 
Bado kuna majirani,rafiki zake wa enzi za shule na wale anaoji'associate nao kwenye shuguli za kijumuia kama vile makanisani na sehemu nyingine kama hizo na ma ex(kama wapo). Sehemu kubwa inategemea yeye mwenyewe japo point yako ya kumuweka mbali na marafiki 'ninaisapoti' ingawa kwa sabababu tofauti, kuna marafiki wakiwa karibu na mkeo hawajui vitu vya kuongea. Huwa wanaongea pumba either kwa bahati mbaya lakini wengine kwa makusudi kabisa ilhali wakijua wanawasha moto. Na uwaweka karibu lazima wapo watakaotongoza(sick) na huwezi kujua watakati wa kutongoza wewe watakuwa wanakuchafua kiasi gani ili sera zao zikubalike. Na'support maoni yako.
 
Uko sawa mkuu
 
Unajua jirani yako hana muda maalum wa kuja kwako ila rafiki yako anamuda maalum, huoni kua jirani ana hatari zaid ya rafiki?
Kama wanakuja bila sababu za msingi, unafyekelea mbali, full stop!!!
 
Back
Top Bottom