Wanawake jifunzeni kutafuta pesa.

Wanawake jifunzeni kutafuta pesa.

J putin

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
1,263
Reaction score
1,209
Habari wakuu,

Hii tabia ya wanawake kuomba omba ela imekuwa kama fasheni kwa jinsia ya kike.

Kwa sasa hakuna mwanaume anayependa au kuja kuoa mwanamke ambaye hana mbele wala nyuma ( goli kipa).Na ndo sababu kubwa ya wanawake kutoolewa.

Kila mwanaume anampenda mwanamke anayejishughulisha au ana kitu (kazi,biashara)cha kumuingizia kipato.

Akina dada wengi ambao hawana kazi au biashara ndo wenye tabia hii,mara utasikia baby naomba laki mbili ya saluni,mara simu yangu ya milioni moja,na ukimchunguza hata hiyo ela yeye anayoomba kwa ajili ya kujifurahisha nafsi yake,huku ana hata kibanda cha nyanya.

Wanawake wa aina hii ogopa kama ukoma.ningewaona wa maana kama hiyo milioni kwa ajili ya kufungua hata biashara.

Na wengi wa wanawake wanaopenda kuomba utasikia au ukimchunguza vizuri ana mtoto walishamzalisha mapema kutokana na hiyo tabia,maana hakuna mwanaume anayependa kuombwa ombwa ela.

Mimi ni mgumu sana kuonga mwanamke ela ,labda tayari awe mke wangu wa ndani,ila hawa wa kuomba omba mtapata tabu sana kwangu.

Nawaza sana kuwa tajiri ,na matajiri wengi waliofanikiwa walikuwa wachoyo.

Naendelea kutafuta ela ila cyo kwa ajili ya kuonga,wanawake wapumbavu kama hao hawanifahi hata kidogo.

Najua wapo wanaume wagumu kama mimi nawapa salute kwenu wakuu.
 
Sasa Una Date mwanafunzi wa Chuo unategemea Asikuombe...
Sina tabia ya kudate na mwanachuo najua nitaombwa ela na kitu ambacho ckipendi na niko nao mbali sana.
 
Kila moja atafute ela zake,hiyo laki ni bora nimpe babangu kule kijijini.
Basi jaribu kwenye Mitongozo yako ujue kama ana kazi au laah. ingawa huwezi ukaishi na Mwanamke Usimpe hata Laki ya Matumizi Utakuwa si mwanaume
 
Badilikeni ,zama zimebadilika.nawaheshimu sana hata yule dada anayeuza nyanya kwa ela zake,na huwa niko tayari kumpa hata kiasi fulani aendelee kukuza biashara yake.lakini cyo omba omba
mmetuandama mweee.
 
Hii inaonyesha ni hali mbaya ya kiuchumi pesa kote kwa me na ke hakuna.
Ndo maanake,mi pesa zangu zinaniuma sana,kwa sasa namka mapema na kurudi home mda umeenda alafu anatokea mwanamke anayetaka kunipiga ela,hapo siwezi kumuelewa hata kidogo
 
Back
Top Bottom