Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja husababishwa na tamaa. Ndio sababu wasichana wengi wadogo wana simu za bei kubwa ukilinganisha na watoto wa kiume hata kuliko sisi wazazi. Wakiume pia wapo kwani wapo...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
1. Atakutega kupata attention yako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda au lah! Mf wa mambo hayo ni kujifanya anaumwa na kuangalia respond yako kwake ni kiasi gani unamjali na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Waschana, wadada, wamama na wabibi wataoweza.... mwanamke nyonga eehh Kigagula mie ukinitoboa kidoleni itatoka damu na sauti ya mziki, napenda mziki kuliko maelezo. Wengi humu wanasema mie sio...
15 Reactions
182 Replies
17K Views
Nina mke, lakini pia nilikuwa na mchepuko/Mpango wa kando. Mchepuko akawa anahitaji kununua gari. Tukaingia mtandaoni na kuagiza gari kwa kadiri ya pesa yake. Gari likafika, na inatakiwa...
6 Reactions
166 Replies
16K Views
Tarehe 12th January miaka kadhaa sasa imepita.. Tulikuwa chumbani.. Ulikuwa umejilaza kwenye kifua changu, mikono yako umeipitisha kwenye shingo yangu... Ukiniimbia wimbo wa Craig David uitwao...
8 Reactions
59 Replies
4K Views
Ninaongea na wewe Dada/Binti ambaye unahitaji mume mwema wa maisha yako,tambuwa wakati umefika sasa huu ni wakati wa wewe kupokea mume wako,ni wakati wa kusheherekea harusi yako,ni kweli umeomba...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
MKAKA: Hello Babe.... (11:45pm) MDADA: (last seen at 11:46pm) MKAKA:Nijibu tafadhali ( 11:50pm) MDADA: (last seen at 11:52pm) MKAKA: Mbona unanifanyia hivi? Mbona hujibu? (00:00am) MDADA: (last...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari wakuu. Somo muhimu sana. Hapa nitajikita kwenye mapenzi ya wachumba wanaohitaji kufunga ndoa na wale waliomo ndoani. Usiiishi kizembe katika ulimwengu huu. Lazima uwe mtu mjanja mwenye...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna wimbo unaitwa mtalimbo. Baadhi ya lyrics zake ni kwamba "Umelala huo umelala huo umelala huo mtalimbo umelala doro ×2 Kuna kipengere kinaimbwa hivi" ulipewa umechemsha umelala doro" Hivi...
1 Reactions
37 Replies
11K Views
Kina Dada Tunapenda sana kuwapa furaha kwenye mahusiano, ila tunapowapa furaha tu mnaanza kunenepa sasa tunataka mbaki na miili yenu iliyo Sexy, ndio maana tunawapa Stress. CHAMA CHA WA WANAUME TZ.
6 Reactions
75 Replies
5K Views
  • Closed
Kama kisemavyo kichwa,kuna mtoto nimempa dozi nzito sana hadi anataka nigande kwake. Ilianzia last year kipindi tulikutana kwenye canteen hapa chuoni,nilimsalimia alijibu kama hataki halafu...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Kuna hii tabia ya wapendanao kutesana kihisia pindi mmoja anapogundua kwamba anapendwa sana na mpenzi wake. Mara kwa mara mmoja akigundua kwamba anapendwa sana basi ikitokea wamekosana kidogo tu...
4 Reactions
37 Replies
6K Views
Habari za weekend wana jf.Hope ni wazima lakini natanguliza maombi yangu kwa aliye mkuu awasimamie katika uchaguzi huu ili maisha yaendelee. Ni true story kabisa.Kama unavyojuwa hakuna kitu...
1 Reactions
63 Replies
9K Views
huwa natamani sana maisha falani ya kuishi na familia lakini sijapata mwanamke alietuli na anaejua samani ya mwanaume kila ninaempata huwa hajatulia kutwa humufumania na wanaume hunitoloka kwenda...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni mwanamke ambae naweza kuishi na familia yangu, najipenda na kujiheshimu,mapenzi yangu makubwa ni kwa mwanaume anae jiheshimu na kujitambua yeye kama mwanaume Kama una sifa sahii za kuitwa...
11 Reactions
362 Replies
25K Views
Habari wakuu, Niwatakie usiku mwema ,ila mambo ni fire fire
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chumvi haitakufaa kwa chai asubuhi, ila itakufaa kwa mboga mchana Usivunje uhusiano na mtu sababu tu umegundua kuwa sio rafiki. Kwenye maisha hatuhitaji marafiki tu. Tunahitaji watu wote. Kila...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Kwa wale waliopo Dodoma nahitaji marafiki kwa ajili ya kubadilishana mawazo kutembeleana siku za weekend Mm ni msichana umri miaka 25 Ni pm kwa mawasiliano zaidi. Sent using Jamii Forums...
5 Reactions
30 Replies
7K Views
Wana JF wenzanga ktk vitu vinavyonihuzunisha na kinistaajabisha ni suala la mzaz kukuamulia au kukuchagulia mke (kwa mm mwanaume)... Isitoshe hata sababu zenyewe anazokupa sasa,!!.... Wakat...
2 Reactions
80 Replies
7K Views
Ni msemo uliopata umaarufu miaka michache iliyopita sijui tena kama unatumiwa ila ni kitu halisi amabacho kinafanyika. Nimpe pongezi aliebuni hilo wazo kwani kwa mtu mwenye kudadisi mambo atakua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom