Mapenzi ni hisia

Mapenzi ni hisia

The iron batterfly

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
1,952
Reaction score
2,527
Haloooo wana Jf
Wajua bana mapenzi ni very complicated
Ndani ya siku 2 hizi nimekuwa namsoma Joyce kiria
Nimemwelewa na nikiri tu amefanya vyema kuspeak it out
Itamsaidia kupona na kumove on baadae,saivi ana uchungu na anapaswa kuyatoa machungu ili apone. It's normal, hajakosea hata kidogo.alimpenda sana mumewe so wamwache atoe sumu mwilini.

Ila kiuhalisia mapenzi ni hisia,ni mchezo ambao ukiuelewa utaufurahia sana.Binafsi niliwah kutendwa na bf niliyempenda sana na nikamsupport sana.Ila alivokuwa vizuri akanigeuka. Na nikir nilimfumania akanipa majibu machafu sana.Nililia zaid ya mwaka ila yalipoisha maumivu nilijiapiza sitakaa nilizwe kimapenzi na mwanaume daima

Nikajiweka fit,kimavazi,kiproffession nk afu nikawa busy na maisha yangu.since then wamekuwa wakimiminika na kunililia kama watoto.Na sitok na mtu ni mtu,nope hadi nimkubalie mwanaume amekidhi viwango yangu.So atakaa sawa akimaliza kulia atageuka yeye ndio anawaliza.
 
Hii furaisha genge tu wakati wanatongozana na kukazana walikuwa wanapublicity? Sasa wameachana publicity kubwa isiyo na umuhimu wala maana yeyote ile
 
No nishapona it's about 7 years toka yatukie hayo,sisemi kufurahisha genge
Na jamaa alirud nikampotezea
tena nikajiuliza hivi nilidatishwa na nn enzi zile?
Pole sana, basi kama ushapona ni wakati mwafaka wa kuanza mahusiano imara na Mr. Barieda.
 
Back
Top Bottom