Kuna amri kuu mbili za kuzingatia ili ndoa idumu. Kwanza, ni lazima mke amheshimu na kumtii mumewe
Pili ni wajibu wa mume kumtunza mkewe kwa kila hali. NB: kulingana na uwezo wa mwanaume husika...
Katika maisha kuna mambo usipokuwa makini yatakupa presha sana na kukujengea hofu ya maisha. Kuna watu husema mitaani, vijiweni, mitandaoni na kwenye mikusanyiko mbalimbali juu ya zoezi zima la...
Napenda kujua ikiwa kuna madhara au faida ya kusimamisha mlingoti kwa muda mrefu. Mfano nipo kazini muda huu... Hamu imenijia... Mashine imesimama almost saa moja na ushee....
Je nitapata madhara...
Kuna sehemu nyingi tu kwenye miili zenye nyama ila Kuna nyama ambazo Ni special.nyama zenye maajabu.kuna nyama ambazo zikichomwa Moto haziungui hapa nazungumzia nyama ya kiume.kuna nyama hizo...
Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye mwenye kiu, ya chemchemi ya maji ya uzima, bure.
7 Yeye ashindaye atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
8...
Hivi wanaume kwanini mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu?
Mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu. Seriously mtabaki...
Dunia sasa imechafukwa kweli kweli ,kuna ambao wanacheka wenzao kwa maovu ambayo ata wao walishawahi kuyafanya kama Konk konk master,
Leo hii ukipita kijiwe kupiga story kati ya story zote lazima...
Naitwa Gerald Machange. Nilifunga ndoa mwaka 2009 na nimekuwa nikiishi na mke na familia yangu ya watoto wawili sasa. Nimeajiriwa na shirika la nyumba la taifa NHC.
Wakati nafunga ndoa, mke wangu...
Ilikuwa siku moja hivi, nilishinda na mchepuko huko pori lisilojulikana siku moja. Wife anajua niko field kwene research kisha ntarudi town niende ofisini ndo nirudi nyumbani. Wakati wa kuagana...
Baadhi ya wanawake katika kufanya nao mapenzi wali report kwamba katika ku push mashine ndani huwa nagusa mpaka kizazi (pengine kwa sababu Nina mashine ndefu sio hizi wanaziita bamia)ivyo...
Mimi bado sijaoa ila nimekuwa nikisikia masimulizi ya changamoto za kwenye mahusiano ya ndoa na matatizo yake yote.kuna ndoa inasemekana Zina miaka zaidi ya kumi Zina migogoro kila siku mke Ana...
Nina mtoto wa kike wa umri wa miaka 4 ambae tangu utoto wake amekuwa karibu na mimi sana ,nkitaka kwenda kazini inabidi nimvizie nitoroke na nikirudi nyumbani lazima nibuni mbinu za kutoroka...
tuliumbwa tupendane, tuijaze dunia kisha tuvitawale vyote vilivyopo duniani.
Dunia ni yetu sote lakini bahati huwa inawaangukia wengine ambao hudhania dunia ni yao pekee.
Sekta ya mahusiano ni...
Habari ya asbh wanaJF natumaini mko powa.
Katika safari ya mahusiano ya kimapenzi kuna mambo mengo yanatokea ya furaha au huzuni.
Mengine ni rahisi kuyasahau mengine cyo rahisi kuyasahau. Toa...
Katika ngazi ya familia kwa ujumla.
Kuna njia mbalimbali za kurekebisha tabia miongoni mwa wanafamilia zinazotumiwa na Viongozi wa familia(Baba na Mama).
Kuna wazazi ni vinara wa kugombeza...
Mwanaume mmoja jijini Mbeya aliyefahamika kwa jina la Bico Biko mwenye umri unaokadiriwa miaka 75 ameuawa kwa kuchomwa kisu na mpenzi wake mwenye miaka 26 baada ya mwanaume huyo kutaka kufanya...
Habari wakuu.
Maisha yanahitaji akili sana na maarifa hasa kwenye mambo muhimu yanayogusa maisha yetu moja kwa moja. Mambo kama ya fedha, mapenzi, na utawala ni mambo yanayogusa maisha yetu moja...
Mwili wa Binadamu unaweza kuhimili maumivu ya 45 del (unit) za maumivu.
Lakini wakati wa kuzaa mwanamke hufikia hadi 57 del za maumivu kiwango hicho cha Maumivu ni sawa kabisa na mivunjiko 20 ya...
Huyu manzi nilikuwa na mahusiano naye ya kushtukiza tu ninaposema hivyo ina maana kwamba sikupanga kuwa nae ila mazingira ndio yalisababisha niwe nae,
Maswala ya discussion ndio yalikuwa chanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.