Nyota yangu imechafuka

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Nyota inayotawala mapenzi yangu imechafuka.
Nyumbani waifu kanichunia, na kitumbua hajanipa wiki ya tatu now.
Nyumba ndogo na kwenyewe nimepigwa chini, yaani demu hataki hata kuiona nikimpigia.
Kuna dada mitaa ya kijitonyama nimemtongoza, eti anataka nimlipie kodi ya nyumba ya miaka mitano ndio anikubali.
Wataalam wa kutengeneza nyota mnatakiwa kwa ajili ya advice
 
NA BADO!pole mwaya.
 
Anayeulizia nyota hana tofauti na freemasons tu,,kugombana na mke wako sio suala geni wengi wanagombana na wanasuluhisha,kwa hiyo tatizo ni wewe inabidi ujishushe umpigie magoti mkeo.
 
Pole sana. Jina lako na pepo za bahari za kusi zinaenda halijojo. Uje na majogoo ya kienyeji 2, vitunguu saumu nusu kg, tangawizi kg 1 na mkaa gunia. Hii ni kwa ajili ya kurudisha nyota ya nyumba ndogo.
Kuhusu my wifw wako, ukete mbuzi anetembea mweusi (awe kanona mafuta ndo yanatengeneza dawa), nakutumia namba ya luku ununue umeme wa 50,000/= tu ili mapenzi yarudi kwa mnunurisho.
 
Kweli we ni mtaalamu; maana unajua kuzichota mali na fedha za wanaopenda ushirikina na kukimbilia kwa waganga hata wanapoona vivuli vyao! Wachune ipasavyo usiwahurumie hata kidogo!
 
Nyota inayotawala mapenzi yangu imechafuka.
Nyumbani waifu kanichunia, na kitumbua hajanipa wiki ya tatu now.
Nyumba ndogo na kwenyewe nimepigwa chini, yaani demu hataki hata kuiona nikimpigia.
Kuna dada mitaa ya kijitonyama nimemtongoza, eti anataka nimlipie kodi ya nyumba ya miaka mitano ndio anikubali.
Wataalam wa kutengeneza nyota mnatakiwa kwa ajili ya advice
Hahahaha kaoge maji ya baharini utoe nuksi mkuu,hata corner bar usipoangalia unaweza kutoka kapa
 
Anayeulizia nyota hana tofauti na freemasons tu,,kugombana na mke wako sio suala geni wengi wanagombana na wanasuluhisha,kwa hiyo tatizo ni wewe inabidi ujishushe umpigie magoti mkeo.

Ndio nyota itachafuka zaidi
 
Pole sana. Jina lako na pepo za bahari za kusi zinaenda halijojo. Uje na majogoo ya kienyeji 2, vitunguu saumu nusu kg, tangawizi kg 1 na mkaa gunia. Hii ni kwa ajili ya kurudisha nyota ya nyumba ndogo.
Kuhusu my wifw wako, ukete mbuzi anetembea mweusi (awe kanona mafuta ndo yanatengeneza dawa), nakutumia namba ya luku ununue umeme wa 50,000/= tu ili mapenzi yarudi kwa mnunurisho.

Tuma haraka nikununulie umeme
 
Mbona hiyo kitu rahisi sana:-
Unatakiwa uniletee machozi ya samaki. Nywele za mjukuu wako, mtoto wa kiume wa mtoto wako wa kike ambaye haujamzaa. Mimi ninakaa gongolamboto unatakiwa usitumie usafiri wowote unapokuja.
Kwakuwa wewe nyota yako ni ya fisi nitahitaji mkojo wa fisi mjamzito.

Bila kusahau leo usilale kitandani lala kwenye sakafu ili uweze kufufua roho za babu yake na mjomba wake shangazi wa kaka yake na bibi yako maana ndio inayobeba nyota yako ya mapenzi.
Fanya hivyo fasta!!
 
Nyota inayotawala mapenzi yangu imechafuka.
Nyumbani waifu kanichunia, na kitumbua hajanipa wiki ya tatu now.
Nyumba ndogo na kwenyewe nimepigwa chini, yaani demu hataki hata kuiona nikimpigia.
Kuna dada mitaa ya kijitonyama nimemtongoza, eti anataka nimlipie kodi ya nyumba ya miaka mitano ndio anikubali.
Wataalam wa kutengeneza nyota mnatakiwa kwa ajili ya advice

Mzee umechuniwa na wife bila sababu? Isije ikawa wife wako na nyumba ndogo yako wameshakorogana ndiyo maana wote wamekuchunia kwa wakati mmoja!!! Huyo wa kijitonyama alikupiga mzinga mkubwa labda kwa namna ulivyoonekana una shida sana na ile kitu yake! Katengeneza nyumba kubwa halafu piga chini nyumba ndogo, ebooo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom