Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Licha ya watu kuwaogopa wanyama mbalimbali hata wadudu lakini Binti mwenye asili ya kihindi Kajol Khan amejenga urafiki na nyoka aina ya Kobra ambao anashinda nao kula nao hata kulala nao,Binti...
0 Reactions
26 Replies
23K Views
Katika maisha yako uliwahi kupitia hali mbaya ya mapenzi ya maisha yako mpaka ukasema labda una nuksi...LAKINI BAADA YA KUACHA NA HILO JISHETANI...UKAPATA MALAIKA MOJA MWEMA HIVI YANIIII KUTOKA...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi ushawahi kuona picha za ndoa za mpenzi wako wa zamani ukafurahi, maana ungeendelea kuwa nae ungekua bado unapiga na kuondoka! [emoji23][emoji23][emoji23]
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Hii kitu ya kuitwa punyeto isikie tu, na huwa inaanza from no where unajikuta ushazama. Miaka kadhaa Nyuma niliishi zile nyumba za uswahilini na Jamaa aliyeoa.. Mke wajamaa alikuwa...
4 Reactions
26 Replies
8K Views
ni hivyo tu basi
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu wa JF najua wengi wetu sio wageni kwenye kuuza mechi. Naposema kuuza mechi namaanisha umeenda kusex na mtu wako na hukutumia zana(kavu) Mara nyingi huwa ni kwa kukusudia ila muda...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
wakati sina chochote huyu ndio ndio mwanamke anafaa kua wife achana na hizi Slay Queen ambazo zinasubiri utafute Then zikupende. Na siku ukiwa huna utasikia kampende mama ako mzazi maana huyo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuoa au kuolewa haraka na bahati nzuri ukapata mtoto kwa age hii ndogo kuna faida kuliko kuchelewa. Maisha ya leo Life Expctance imekua tofauti na zamani hivyo unaweza pata mtoto ukiwa na Age ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani mimi ninarafiki yangu ambaye nilikutana nae sehemu fulani ya kupatia lunch na breakfast. Sasa tumeenda basi akaanza kuonyesha uanaume wake si akaniibukia oooh nakupenda. But mimi ilo wazo...
3 Reactions
51 Replies
6K Views
Husika na mada tajwa ,naombeni anwani ya chuo kinachotoa kozi ya utengenezaji wa kucha za kina Dada,kusugua miguu(Massage) na mengineyo Asanteni
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hello, Msishangae sana wala msichoke, huu mwezi kwa lugha ya malkia una majina mengi, Festive Season, Christmas Season, Vacation Season, Wedding Season, na Mahaba ndo yanazidi ila ambao wanaenda...
4 Reactions
101 Replies
7K Views
Watanzania wana matusi sana. Unaweza ukakuta post ina comments 500 basi comments 450 zote ni matusi. Tofauti na post ambazo sio za watanzania katika hizo comments 500 unakuta 10 au 20 ndio...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari kwa ujumla, niruke moja kwa moja kwenye mada. Naombeni kuuliza katika maisha ya ndoa ni nani kati ya mume na mke ambae kwa ujumla husababisha mwenza wake atangulie mapema mbele ya haki...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Give me your heart i like your ass i like your kiss i [emoji177] your romance i want to sex with you i will buy you iphone cacha gelo come to me don't say no if you say no i can die come to me and...
0 Reactions
7 Replies
690 Views
Ni kijana wa umri wa miaka 28, nimeajiriwa ktk shirika moja kubwa la umma na recently nimehamishiwa mkoani Dar. Nilipata shida sana kupata nyumba, na kwa msaada wa rafiki yangu, aliniunganishia...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Itamsaidia zaidi anayeogopa ogopa kuingia. Mimi nimesoma na I na J darasa moja kabisa. Tukamaliza wote STD seven I akafeli sisi na J tukaendelea na masomo ngazi zingine. I akapelekwa shule...
6 Reactions
122 Replies
6K Views
Kama Mwanamke Anaweza Kumsaliti Mwanajeshi Anayeshinda Kila siku na mabomu, vifaru, Bunduki AK 47, Smg na maroket kibao sembuse wewe na kaleseni kako ka bodaboda class A2...? My brother Hawa...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Mwanamke Haruhusiwi kunyoa nywele zake isipokuwa pawe na jambo la kisheria la kufanya hivyo. Hii hata hakizaliwa hapaswi kunyolewa nywele. HAKIKA NYWELE ZA MWANAMKE NI PAMBO ZURI LINALO...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mi leo niko na wife to be hapa ghetto nimeamua tukimaliza kula hapa tukaoge ikifika mida ya kulala ile mida flani hivi kama ya saa nne na nusu hivi nianze kupiga game moja makinikia, Hapa...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
Huyu bidada huyu nayomsemea leo ni full packeging kuanzia sura ,umbo mpaka kucha ni hatari, Ni pin pia makinikia si haba kila akipita hapa kibandani kwangu ananikonyeza na kajicho kake ,anagusa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…