Msaada: Nataka kuwa Mr. KUCHA

Msaada: Nataka kuwa Mr. KUCHA

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,729
Reaction score
8,803
Husika na mada tajwa ,naombeni anwani ya chuo kinachotoa kozi ya utengenezaji wa kucha za kina Dada,kusugua miguu(Massage) na mengineyo
50bb26a29a3ebb59dd9428a5b647983b.jpg

Asanteni
 
Haina sabab ya kuhangaika ww nenda Mwenge Dsm kuna mahali kuna majamaa huwa wanawatengeneza kucha akna Dada,hapo utamuomba mshkaji yeyote akufunze kaz hiyo then uanze kupakata miguu ya akna Dada na hapo huwa kuna mamanzi vsu hatar

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Mmmh.... Kucha hazijawai kumuacha mtengeneza kucha salama
 
Jamaaa unataka uwe unatuchapia wake zetu dhuu
 
Back
Top Bottom