Kama mwanamke anaweza kumsaliti Mjeda wewe ni nani mpaka asikusaliti

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,673
Kama Mwanamke Anaweza Kumsaliti Mwanajeshi Anayeshinda Kila siku na mabomu, vifaru, Bunduki AK 47, Smg na maroket kibao sembuse wewe na kaleseni kako ka bodaboda class A2...?

My brother Hawa viumbe waache kama walivyo wanajijua wenyewe wanachotaka.

Cc Zero IQ
 
Inaelekea wewe umetembea na mke wa anayeendesha bodaboda ndo mana umeongea kwa dharau kiasi hicho..au una tabia za aina hio...ushauri wa bure ACHA ..utakuja chungulia kaburi
 
We unaogopa kaburi mkuu sehemu ambayo ata wewe utaifikia?
 
kwa hiyo akikusaliti kwa kuwa una leseni ya bodaboda ndio uvumilie ??
we mbona mtu wa hovyo hovyo
mandela tu alimuacha mkewe kwa ajili ya usaliti
 
Take Easly mkuu
 
Kama Mwanamke Anaweza Kumsaliti Mwanajeshi Anayeshinda Kila siku na mabomu, vifaru, Bunduki AK 47, Smg na maroket kibao sembuse wewe na kaleseni kako ka bodaboda class A2...?

My brother Hawa viumbe waache kama walivyo wanajijua wenyewe wanachotaka.

Cc Zero IQ
Nimepata kuongea na wajeda wengi ni wahanga wa kusalitiwa nadhani kwasababu ya asili ya kazi yao.
 
Inasemwa kwamba:- usimuudhi MWANAMKE kwa maana yeye ndio kiumbe pekee aliyewahi kukutana live na SHETANI, sasa hapo hatuwezi kujua kuna mambo gani mengine waliyoyaongea mbali na lile tunda, so akili zao huwa wanazijua wenyewe tu na yule mzee SHETANI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom