Anataka kunifirisi mtaji wangu wa chipsi

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,916
24,674
Huyu bidada huyu nayomsemea leo ni full packeging kuanzia sura ,umbo mpaka kucha ni hatari,

Ni pin pia makinikia si haba kila akipita hapa kibandani kwangu ananikonyeza na kajicho kake ,anagusa mshikaki na kusema Zero IQ unajua kupika mishikaki yako mitamu balaa mwenyewe najawa kichwa namwambia chukua uonje ndio tayari kashanipiga lose,

Bado siku nyingine akija ooh Mr Zero u're so handsome mi mbichwa huo nikijichekesha basi utasikia nikopee chipsi yai nitakulipa kesho basi namgongea ndio inakuwa ntoleeee ,

Siku nyingine anakuja na Rafiki zake anajisemesha na kuwatambulisha kwamba mi ndio shemeji yao wakati ata mzigo sijala japo siku moja moja anajigongesha na visms vyake uchwala,

Anataka nimtawanye lakini naogopa mtaji wangu wa chipsi usije kupelea,mtaji wenyewe ndio huu huu tu nilioanza nao kwa kuuza mishikaki na mahindi leo yeye na makinikia yake anataka kunifirisi.




IMG_20181105_194414_899.jpeg


Cc Zero IQ.
 
Muweke hapo kwenye biashara yako awe kivutio cha wateja bila shaka uta pata faida kubwa mwisho fungua goli jingine :D:D.
 
Mzee pambania kombe pambana ela yote..
Ukila lazima uliwe so maliza biashara chapa lapa
 
Back
Top Bottom