AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Katika maisha yako uliwahi kupitia hali mbaya ya mapenzi ya maisha yako mpaka ukasema labda una nuksi...LAKINI BAADA YA KUACHA NA HILO JISHETANI...UKAPATA MALAIKA MOJA MWEMA HIVI YANIIII KUTOKA PEPONI...
My dears...kama uliwahi na jipenzi shetan katili lenye roho mbaya kama huyu...hebu tueleze...
Mimi nilikuwa na lijanamke...hata sikuelewa...yaani yeye sijui aliniwekeaga limbwata la wapi...yaani nalipenda tu...
Siku nakuja kugundua siko pekee yangu...halitaki nimwache...alafu na yule mwingine hataki kumwacha...
Wakati muda huo huo ety ananionea wivu nikiwa na wadada wengine...
Ni aina ya jipenzi katili lililotesa moyo wangu...
Wewe UMEWAHI KUTANA NA KATILI KAMA HILI...?
SASA BAADA YA KUACHANA NA HILO KATILI SASA....
SASA HIVI MASHAALLAH NIMEPATA CHOMBO KIMETULIA HAKINA HATA ROHO MBAYA KATOTO KA WATU...YAANI UNAKAONEA HATA HURUMA KUCHEPUKA...Jamani mabidadaa...tengeneza mazingira kwa mumeo ajione ht guilty akidhamiria kuchepuka...sio unamfanya mumeo ajione sawa tu akitaka kucheza ugenini...!