Kuoa ni kujilipua ujasiri unahitajika


Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
27,524
Likes
61,134
Points
280
Age
21
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
27,524 61,134 280
Itamsaidia zaidi anayeogopa ogopa kuingia.

Mimi nimesoma na I na J darasa moja kabisa. Tukamaliza wote STD seven I akafeli sisi na J tukaendelea na masomo ngazi zingine.

I akapelekwa shule nyingine akafaulu. hatukuonana naye tena.

Siku ya kwanza kumwona I yupo na rafiki yake N. Rafiki yake I ni mzuri saana akanisalimu mambo shemeji! kumbe tayari ni shemeji kwa kaka yangu. I naye kumbe mpenzi wa rafiki wa kaka yangu.

Miezi mitatu kupita baadae I akapata mimba lakini kizungumkuti kikaja ni ya nani? rafiki wa kaka bado anasoma na familia zao ni marafiki hakuweza kumtaja, akamtaja jamaa mwingine.

Kufupisha stori.

I akajifungua mtoto anafanana na rafiki wa kaka yangu. Kikwazo hawawezi rudiana tena mapenzi yalishakufa.

Classmate wangu J akajilipua akatangaza ndoa kwa I...leo hii wanaishi wanalea watoto. Huyu jamaa ni jasiri saana. Licha ya kuijua historia ya I vizuri lakini akasema hapana liwalo na liwe.

Hivyo, kuna mida ya kujilipua unafumba macho...Asaalam.
 
fundi bishoo

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Messages
5,460
Likes
5,317
Points
280
fundi bishoo

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2018
5,460 5,317 280
USIKU MWEMA KWA WANA JF WOTE NAWAPENDA SANA MDOGO WENU
 
Elly255

Elly255

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Messages
376
Likes
302
Points
80
Elly255

Elly255

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2017
376 302 80
Unaoa lini mkuu DAB
 
tamuuuuu

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Messages
11,105
Likes
8,102
Points
280
tamuuuuu

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2014
11,105 8,102 280
I J K!!!
 
espy

espy

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
50,110
Likes
61,769
Points
280
espy

espy

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
50,110 61,769 280
Siku nikinywa haki damage control utakayoifanya sijui tu!!
Pombe za kienyeji mdogo wangu....Hao watakuua hajui zingine zaidi ya hizo.
 
espy

espy

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
50,110
Likes
61,769
Points
280
espy

espy

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
50,110 61,769 280
Mada inasemaje?
Ila miwatu ya Jf sijui imekuwaje siku hizi wote mlio comment hakuna aliyeijadili mada.


Ni kweli Mzee baba kakaza kiasi hicho????
 
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
27,524
Likes
61,134
Points
280
Age
21
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
27,524 61,134 280
Sijui binti wa nani ambae atakuwa kajichoka hivyo!!!
Posa ishapokelewa kwenu hivyo acha kuruka...soon utaniita mume..sawa mtoto mzuri?
 

Forum statistics

Threads 1,238,928
Members 476,277
Posts 29,337,099